Siri ya pili,hakikisha una hela Mwajuma,i love u ni kila saa
2026-07-01 17:08:46
128
sarafina712 :
Tatizo moyo ukishapenda jamani
2026-07-01 18:25:47
62
user6193065328554 :
Mbona Moyo wangu una kihele hele jamn kila dakika Nakupenda sana na bado nikaachwa nyie 😂
2026-07-06 14:02:59
5
mashishi_outfits :
Me too aijawai kuwa mbaya aisee 😂
2026-07-01 19:58:36
29
fettyally :
nahao wanaosema i love you siwaelewagi mm 😅
2026-07-01 17:32:27
13
Ruccky :
dada hapo umechemsha yani big noo tafakar vizur alaf urud tena mapenz huonyeshwa kwa matendo zaid yani kuna vitu unaviona unajua kweli mm napendwa sio i love yu or me too
2026-07-04 04:44:21
5
nadya_🌹🌹 :
🤣🤣nimecheka kwa huzuni
2026-07-01 16:32:41
46
1245566 :
kumbe niko sawa..niko kwa me too..asipo nipigia siwezi mm
2026-07-01 21:02:44
7
Mom jj :
Mm siko kwenye i love u wala me too 😁😁 nipo kwenye asante nimeipata basiiiiii
2026-07-04 01:16:42
5
Zarinah bae :
Mieh nilikua me too ila siku zinavyoenda mapenz anayo nipa😂 naona naanza kua i love you ila kweny kutoa pesa 😂 subir kdgo
2026-07-02 04:06:13
29
Beats by icha💅 :
Me tooooooo🤣🤣🤣🤣
2026-07-01 20:06:22
12
Phina Keche :
Asante sana
2026-07-01 16:46:17
5
sally🫶🏼 :
Received mode😍me too 😂😂😂
2026-07-01 18:03:22
8
sospeter masula :
ogopa sana wakwe kuigiza kuwa wanapenda unavyoishi na mtoto wao
2026-07-03 03:54:45
6
aishamasoud945 :
kweli dada
2026-07-03 04:21:10
0
Lizzie 🥰🥰🥰 :
kweli kabisaaa
2026-07-02 19:20:43
0
upendo @#### :
ila😂😂😂
2026-07-03 18:23:06
0
Farhan mom :
🤣🤣nmeujuw upande wangu
2026-07-01 16:47:57
8
Gateka Ange Bella :
next
2026-07-02 20:27:12
0
zuu kimti :
me nakupenda sana🥰
2026-07-03 05:15:05
0
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
kweli kabisa
2026-07-02 13:23:06
0
Naomi Naom's :
pia mh Niko upande wa kupokea mh too, lakini saa zingine najipata namwambia ninavyopenda pia yeye hupokea me too.. sasa apa tuko sawa kweli??
2026-07-04 09:34:07
3
ummu collection :
kwahiyo wale ambao hawaambiwi ilove you mpka aombe inakuaje anapendwa au?
2026-07-31 11:03:49
1
@Mama ake J :
kweli mama
2026-07-04 10:20:55
1
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm
homepage.