@buzingoone_marketing: Tofauti kati ya mtu mwenye mtazamo wa umasikini na mtu mwenye mtazamo wa utajiri kwenye marketing si kiasi cha pesa alizonazo, bali ni namna anavyofikiria kuhusu uwekezaji, thamani, na ukuaji wa biashara. 1. Masikini huona marketing kama gharama. “Hii hela ya kutangaza ni bora niihifadhi.” Tajiri huona marketing kama uwekezaji. “Nikiwekeza kwenye marketing vizuri, nitapata wateja zaidi na mapato yataongezeka.” 2. Masikini husubiri wateja wamtafute. Anategemea bahati au maneno ya watu. Tajiri huwafuata wateja. Anatumia matangazo, content, na branding kuwafikia kila siku. 3. Masikini huuza bidhaa. Anasema tu bei na sifa za bidhaa. Tajiri huuza suluhisho. Anaonyesha jinsi bidhaa au huduma yake inavyotatua tatizo la mteja. 4. Masikini hukata tamaa haraka. Akipost mara chache bila matokeo, huacha. Tajiri hujenga consistency. Anajua kuaminika kunajengwa kwa kuonekana mara kwa mara.
Kuna siku inakuja, utaamka mapema, utaoga, utakunywa chai, utapata lunch alafu kabla ya jua kuzama MUNGU ATAKUCHUKUA.
Hakika Mungu atupatie mwisho mwema utakaompendeza yeye na ufalme wake mbinguni. Sisi ni mavumbi na mavumbini tutarejea.
2026-07-02 06:58:19
6
ommy🫵💥💯 :
🔥🔥🔥
2026-07-02 05:18:46
4
To see more videos from user @buzingoone_marketing, please go to the Tikwm
homepage.