urafiki mmoja akipata kazi t bas urafik ushaishaaa😌😌😌
2026-07-02 05:07:18
22
Cutee Zey :
Msindikizaj wa nn sasa ,mie sina marafik na hata rafiki sitaki, unafk t na husdaa
2026-07-01 21:10:28
41
time will tell 🙏 :
This is the reason why I don’t have friends even 1
2026-07-02 09:57:27
2
N@n@_255 :
😅😅dah sa jaman tutaenda wap.... marafik wabaya ndoa mbaya maadaui wabaya ☺️🙌
2026-07-02 11:11:35
4
sameerhameec :
hakuna rafiki kwenye hii dunia
2026-07-02 06:09:03
3
user1108393677109 kaman :
subhanallah!
2026-07-02 12:54:34
1
ummuyusra :
Kweli Kabisa Hadi Likufike Ndiyo Utaelewa Siye Kila Anaye Kuchekeya Ni Mwema Kwako😥🫴
2026-07-02 05:18:38
1
Kili :
Wasindikizaji wanafki sana
2026-07-01 17:46:24
4
user3301505096178 :
thts y sijawaikua na rafiki zaidi ya mamangu na mme wangu😄...My best friends ever
2026-07-02 05:33:32
3
sophy@01 :
subhanallah Allah aniepushie na watu Kam hao mahasid nnar
2026-07-02 12:34:03
0
🎀Jenipher🎀 :
ndy maana naendaga mwenyew dukan staki unafiki Mimi,kwanza mie nikiwa na ela staki aty rafiki🫤
2026-07-02 12:30:18
1
mrs Master plan :
ni kwel😂😂
2026-07-02 10:16:44
1
mj cute💞 :
kweli kabisa
2026-07-02 06:58:27
2
Tamara naks :
kabisa
2026-07-02 08:31:49
1
AM Bite's &snaks :
Alhamdulillah sina rafiki
2026-07-02 08:19:10
1
Jamilashiban39 :
kweli napenda advice zako
2026-07-02 05:59:50
1
zuu baby :
MI sipendi rafk kabisa sasaivi
2026-07-02 08:03:27
1
w.alsharjih :
Sijawah kuwa na rafiki maisha yangu mpaka leo hii
2026-07-02 09:32:42
1
zuhreen23 :
sio kuongozana tu hata kuwa nao karibu sio marafiki tu hata ndugu
2026-07-02 06:55:20
1
KIPENDACHO_ROHOO :
Kalenda ya Miezi ya Kiislamu | Islamic Hijri Calendar'. List:\n1. Muharram\n2. Safar\n3. Rabi' al-Awwal\n4. Rabi' al-Thani (Rabi' al-Akhir)\n5. Jumada al-Ula\n6. Jumada al-Akhirah\n7. Rajab\n8. Sha'ban\n9. Ramadan\n10. Shawwal\n11. Dhu al-Qa'dah\n12. Dhu al-Hijjah
2026-07-02 08:58:31
1
mwarabu cheupe :
ndio mana mm sipendi urafiki kabisa
2026-07-02 14:50:44
0
mwarabu cheupe :
wallahi ukweli kabisa
2026-07-02 14:49:24
0
hajraah :
hakika
2026-07-02 14:23:07
0
Sugariseeh :
Sina mda na Marafiki Mimi Yani tukionana for lunch or anything we are done nikigeuka nyuma Niko na Habari zangu, I am not faking but that is maturity wanao kuhasidi ni wale wanao jua vitu kuhusu wewe, build a small circle I am charming and friendly but I have boundaries as well 🙏🏻
2026-07-02 08:57:03
0
To see more videos from user @zuraamabayas1, please go to the Tikwm
homepage.