@ramadhani.w.mkalagale: mambo ya bidaah? au hamna elimu? au ni wavivu wa kufunua vitabu? someni someni kidogo. #TRENDINGVIDEO #TIMERMEDIA #videoviral #timermedia #timermedia #iran🇮🇷 #oman🇴🇲 #saudiarabia🇸🇦🇵🇰🇸🇦 #tanzaniantiktok🇹🇿 #vilralvideo
maashaa allaah mungu akulipe kher umepambana vizuri
2026-07-03 18:08:51
3
ismaili soloka :
asante sana
2026-07-04 09:27:03
0
Ibrahim Chuma :
maashaallah
2026-07-04 18:11:29
1
user5540121075588 :
acha kibri
2026-07-01 22:39:17
1
المفولنزي خليفة القادري :
kama alikuwa anahitaji dalili itakuwa ameshaelewa.
2026-07-02 07:50:13
1
rifaty :
alhamdulillah ulivyomjibu mashallah 💕😍
2026-07-02 16:23:43
0
djuma sumaili :
سبحنالله
2026-07-01 18:50:02
1
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Hapana. Ibn Kathir hakusema kwamba kusema "Ah" au "Aah" peke yake ni dhikri ya Kisharia inayopaswa kurudiwa kama ibada.
Alipofasiri aya:
﴿إِنّإِبْرَاهِيمَلَأَوّاهٌ حَلِيمٌ﴾
(Qur'ani Tukufu)
alinukuu maelezo mbalimbali ya wanazuoni wa Salaf kuhusu maana ya "awwāh (أوّاه)", kama vile:
Mwenye kuomba dua sana.
Mwenye kunyenyekea sana kwa Allah.
Mwenye kumkumbuka Allah sana.
Mwenye kumcha Allah.
Hakusema kwamba maana yake ni kufanya "Ah, Ah" kuwa dhikri maalumu ya kuabudiwa.
Kwa hiyo, hakuna katika vitabu vya Ibn Kathir dalili kwamba aliruhusu au alipendekeza kusema "Ah" kama dhikri ya kujitegemea.
2026-07-03 16:44:03
0
NGOMA :
Ww unamjibu shekh unaweza au porojo
2026-07-02 07:17:34
0
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Ndiyo, katika Qur'ani Allah amesema:
"Hakika Ibrahim alikuwa mwingi wa kuomba kwa unyenyekevu (awwāh), mvumilivu."
()
Neno "awwāh" (أوّاه) halimaanishi kwamba kusema "Ah" peke yake ni dhikri iliyowekwa.
Wanazuoni wamefasiri "awwāh" kuwa ni mtu:
Anayemkumbuka Allah sana.
Anayeomba na kunyenyekea sana kwa Allah.
Mwenye kumcha Allah sana.
Mwenye huruma na moyo laini.
Kwa hiyo, aya hii haiwi dalili ya kwamba kusema "Ah" peke yake ni dhikri ya Sunnah. Badala yake, inaeleza sifa ya ya kuwa mnyenyekevu na mwenye kumwomba Allah kwa wingi.
2026-07-03 16:42:33
0
Mpende kila m2&@ :
nawe umetokea wap?
2026-07-02 05:38:43
0
Darasa Langu :
Hakika ni uvivu wa kufungua vitabu
2026-07-04 13:41:36
1
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
إذا كنت تقصد قول: "آه" أو "آه آه" على سبيل الذكر والتعبد، فليس هذا من الأذكار الواردة في القرآن ولا في السنة.
بل الأذكار المشروعة هي مثل:
سبحان الله.
الحمد لله.
لا إله إلا الله.
الله أكبر.
لا حول ولا قوة إلا بالله.
أما قول "آه" مجردًا على أنه ذكر يتقرب به إلى الله، فلا دليل عليه من القرآن أو السنة، ولم يُعرف عن الصحابة أو التابعين أنهم كانوا يتعبدون الله به.
2026-07-03 16:39:08
1
Rajab Dadiy :
maashallah, umefafanua vyema ndugu yetu, Allah akulipe kwa nia yako, na kwa juhudi zako, inshaallah.
sheikh alihitaji dalili kwa nia ya kutaka kusoma, au kujikumbusha, au kuondoa shaka moyoni na wale wanao msikiliza, basi ameipata.
nijuu yake kukubali au kukataa hapo itategemea na nia, elimu, inswaaf na msimamo wake.
2026-07-01 19:35:05
2
MOHD MOHD :
ata nayy ni bidaa kazuka
2026-07-06 07:53:02
0
ummys mashamshamus :
omba mjadala shekhe
2026-07-02 07:34:02
1
charafimali :
ALLAH akuhifadhi. TUNAWAAMBIA KUA LAA YUURA ANUAARU ILLA AHLI ANUARU. . tutakutana kwa ALLAH tuwajuwe kinanani wahuni na mawalii.
2026-07-03 16:27:34
0
nachimango :
kaka samahani unatukoseya Sana 😭😭😭
2026-07-09 20:19:08
0
user6150951854603 :
Maashallah mtu akiwa anajua mpk anavyojibu hapayuki ni taratibu na ushahid dah mtu anajibu hoja mpk rah
2026-07-11 15:07:35
0
To see more videos from user @ramadhani.w.mkalagale, please go to the Tikwm
homepage.