@abiir_huwel: Take care of your Mental health 🧠🌿 Maisha hayana ratiba maalum. Hakuna muda rasmi wa kufanikiwa, kuolewa, kuzaa, au kutimiza ndoto zako. Kila mtu ana majira yake. Acha kujipa presha kwa vitu vilivyo nje ya uwezo wako; fanya unachoweza leo na mengine muachie Mungu. 🌿 Kama unatafuta sehemu salama ya kujifunza kuhusu ukuaji wa kibinafsi na uponyaji wa kihisia, uko mahali sahihi Linda Afya yako ya Akili 🧠 ndio jukumu lako ❤️ @millah_elegance @Jammy delights 🦋 #creatorsearchinsights #ushauri #afyayaakili #swahilitiktok #MentalHealthAwareness