kwa Uwezo wa Mwenyezi Mungu..Mzee jiuzulu TU. kazi imekushinda
2026-07-01 21:00:41
0
ancholaa :
boss wangu Mashallah ila vijana wako wanakuharibia jina huko wanapoendakufanyakazi
2026-07-01 19:20:16
0
Mohd Mohd :
mtihani sn
2026-07-01 20:19:40
0
Issaya43 :
muongo baba muogope mungu
2026-07-01 19:03:29
0
Home boys :
Faini ni ndogo sana laki 5 kwa boda boda ndogo sana boda boda moja milioni 1 ingependeza zaidi maana mnahifanyaga kimbele mbele sana kpndi cha kmpen
2026-07-01 20:31:27
1
hamdan :
mwanae musobi
2026-07-01 20:36:32
0
ANTELOPE🦌 :
hakuna cha kufanya mtu ukapata haki bhn nchi hii
2026-07-01 19:43:19
0
Neymarjr22 :
uongoz unaoacha alama😁😁😁
2026-07-01 19:30:30
0
user8283639607318 :
tushachoka mtakavo tunataka
2026-07-01 20:23:33
0
Anuwar Suleiman :
mweshimiwa rais wa zanzibar tunaomba uingilie jambo hili maana mtu anapo kosa cha kukila na familia yake huenda ikampelekea mtu uyo kufanya uhalifu bila ya kujali nini kitamkuta kwakweli hio ni njaa yaraia wenye hasira na waliochoka na manyanyaso tunakuomba zanzibar sasa ina uhalifu wa kimya kimya kutokana na hali ya kimaisha raia wanatafuta pesa kwa wakati mgumu na guvu kubwa bila ya kuchoka na kipato chote kinaishia kwenye kula leo mtu akikosa kula si ataiba kwa njaa ilio mbana tunaomba sana serikali iangalie mbele na nyuma hii ni hali hatarishi kwa kisiwa chetu kidogo cha zazibar.
2026-07-02 00:58:15
0
To see more videos from user @saidtzaayotv_znz, please go to the Tikwm
homepage.