@rodifelix16: Kutoka kuwa staa mkubwa Hollywood hadi mstari wa mbele vitani! 🫡 Hii ndio story ya Victor Mature, mwamba aliyeacha umaarufu na pesa zote za uigizaji ili kulitumikia taifa lake kwenye Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Hakutaka makuu, akaenda kusajiliwa kama askari wa kawaida kabisa wa kikosi cha ulinzi wa pwani (Coast Guard). Huyu ndio definition ya shujaa wa kweli kwenye screen na uhalisia! 🎬🎖️ #VictorMature #HollywoodHistory #StoryZenyeGusa #WenyeHeshima #Filamu

Lord_FELICIAN🤴
Lord_FELICIAN🤴
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 01 July 2026 19:13:27 GMT
5727
334
6
10

Music

Download

Comments

nkonyi6
JAMII YANGU. :
Victor mwakitalema 😄😄😁😄😁😁😄😄😄😄😄
2026-07-01 19:24:49
2
madaminspirational
Lethicia Joseph :
douh😳
2026-07-01 21:00:31
2
bagajojemarc2
rizomama :
🥰🥰🥰
2026-07-01 23:30:52
1
To see more videos from user @rodifelix16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About