@barayingwaisaya: #fyp #viral #mahusiano #Love #Relationship Mahusiano mazuri hayajengwi na maneno matamu pekee. Hujengwa na heshima, uaminifu, uvumilivu na matendo yanayoonyesha upendo wa kweli. Chagua mtu anayekupa amani ya moyo, si maumivu ya kila siku. ❤️🙏"