kizazi kigumu hichi shukrani mungu awaongoze watoto wetu
2026-07-02 03:47:49
74
zenaalmasi545 :
😂😂😂😂swadakta shukrani jazilah shekh maashaallah
2026-07-30 13:41:07
1
Instyle Luxe Creations :
I just made this whole mistakes leo
2026-07-02 07:42:43
9
🪷Ms.Zany🪷 :
dah mungu anipe subraa
2026-07-02 05:54:45
15
XukLivingKE :
Masha Allah Shukran for the knowledge
2026-07-02 09:33:27
7
amanaymalhu1 :
sio vibaya lkn watoto Ni headache bwana wangu haogi morning mpk umtishie
2026-07-02 13:56:01
9
GOLDEN T :
that's about guidance and counselling ila punishment inabidi ufanye hivyo
2026-08-13 09:20:32
1
MoSalum :
Hii ni hekima nzuri sikatai alhamdulillah shukran sana. Na sio kwa ubaya. Hapo itakua mombasa au zanzibar. Lakini sio mitoto ya bara. Tembeza mitamaaa tu
2026-07-02 07:07:58
8
frankkashimiri :
safiiiii sanaaaa,elimu nzuri sanaaaa hiyo,wengi tunakosea kuwatunza watoto wetu.MUNGU ATUSAIDIE KUTUNZA WATOTO WETU.
2026-07-31 09:25:46
2
tz hunter jay :
tulio rekebishwa kwa ukali tujuane hapo
2026-08-12 20:33:52
1
Daud Hussein :
wise
2026-07-02 18:15:13
1
Ramadhan Kevogo :
I, like that
2026-08-24 22:41:03
1
Pamela Peter :
Hekima Nzuri, Mungu atupe hekima kwenye malezi
2026-07-02 20:00:21
3
alidr03 :
Mashaallah kheif asema kweli
2026-08-04 18:31:32
1
user9053763972749 :
shukran mafunzo mazuri
2026-07-02 12:13:59
2
khamisabdallahkha6 :
shukran maalim kwa elimu uliyotupa
2026-07-02 03:46:01
6
fatuma amani :
It's true ,my 3yrs son akiamka ukianza kusmile nakumwambia Asalam alaikum babaa ,kesho akiamka yy wakwanza anakuamkia the same alhamdulillah
2026-07-02 10:17:37
5
jinibahar :
MashaAllah maneno sahih
2026-07-02 11:58:13
2
Green Islandman :
mashallah
2026-07-02 10:12:16
2
Changu_254 :
Swadakta 🫡
2026-07-02 18:14:48
2
Sauti Ya Kifalme :
God bless Children
2026-07-02 14:58:05
3
user2033930412943 :
shukran sana Allah akubaariki
2026-07-02 16:59:08
1
Hanif_physique :
Na wakati anapoenda kulala. Bedtime punishment creates anxiety around sleep itself. If bed becomes associated with getting in trouble, falling asleep gets harder kids can start dreading bedtime or lying awake anxious.
2026-07-02 18:02:46
4
chiya_de_zanzibar :
shukran 🙏
2026-07-02 12:14:15
2
To see more videos from user @khalidbinwalid457, please go to the Tikwm
homepage.