@mkakamweusii: Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB), Said Salim Bakhresa amepewa Tuzo ya Mlipa Kodi Mwenye Hadhi ya Juu katika Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Bakhresa ameshinda tuzo hiyo iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka wa pili mfululizo baada ya TRA kumtunuku tuzo kama hiyo katika mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025.#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
Tuzo ni muhimu ila najuaga wafanyabiashara ni maagenti wa serikali wa kuwakusanyia kodi , walipa kodi ni walaji hivyo anatakiwa aitwe agent mzuri kuliko wote
2026-07-02 07:29:54
1
mkaka_mweusi☻️ :
🥰🥰🥰
2026-07-01 20:16:17
0
Victoria GL :
🥰🥰
2026-07-02 06:42:47
0
To see more videos from user @mkakamweusii, please go to the Tikwm
homepage.