@jahaliatv_: Mbunge wa Jimbo la Geita MH.Joseph Musukuma ameeleza safari yake ya Maisha kutoka kufirisika hadi kuwa Billionea Tena kwa kuuza viatu Tu pekee. Video Credits: MS Podcast @brazamento
Mungu ana njia za kumtoa mtu akili zake hazichuguziki
2026-07-02 07:08:56
5
joeh_ investment :
nashindwa kuelewa
2026-07-03 09:41:28
2
Brazilero :
msukuma vp ushalewa nn
2026-07-02 06:01:08
8
edinamwaisumo :
mwamba kabisa
2026-07-03 11:48:48
1
noriegacompany51 :
Msukuma muongoo sana
2026-07-02 06:48:13
6
home girl :
Maashallah 🤩🤩🤩🤩
2026-07-03 06:43:23
1
#KING :
Hizi story za huyu bwana nimezistukia mimi... kipindi anachosimulia kama sikosei ni miaka ya 70s au 80s au 90s. Kipindi hicho hapakuwepo na productions ya Gari za Noah!! Noah imekuja sokoni in late 90s kuja 2000s. Hizi fix za watu na biashara zao basi tu, vile hatukuwepo!
2026-07-03 07:26:58
3
Mariasalome :
Jamani kama sielewi, hii story mmmh
2026-07-03 05:22:10
1
Aboucar Hieguein :
Mmmmmh mmmmmh
2026-07-02 19:56:01
2
Edison Samwel :
ushuda Mzuri sana kaka hadi laha
2026-07-02 14:58:35
2
joycemarco255 :
napenda kuskiliza sana mheshimiwa anapoogea mungu akulinde san
2026-07-02 08:39:54
4
To see more videos from user @jahaliatv_, please go to the Tikwm
homepage.