@karim_kims: #darasahuru #truckdrive #scania #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

Karim Kim's ♈️
Karim Kim's ♈️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 00:34:45 GMT
22426
1434
54
69

Music

Download

Comments

fadhilkassim373
Fadhil Kassim :
sawa na sisi team 380 ni hivyo hivyo au
2026-07-02 22:17:37
1
truboix
aryansizzla :
walicho maanisha apo ni kwamba usipo acha idle turbo charger itaharibika. na hii ni kwa gari zenye turbo charger, ambazo hazina unaweza ukazima hapo hapo. Kuacha idle dkka 1 au 2 inasaidia kuzuia oil baking. Ikikaa mda mrefu ina sababisha carbon buildup, pia mafuta yanaweza kupita kwenye ring piston ika changanyika na oil
2026-07-02 06:23:28
9
brazamashati
BrazaMashati👕👔 :
Thanks bro, that helps alot.!!
2026-07-02 11:37:46
0
settymr
Samsetty Jayden :
asa wamekosea wap.?!!
2026-07-02 17:46:23
2
methodemanuely0
Baba p :
uongo unaongea
2026-07-02 18:45:03
1
remy_remyd
THE REMYD👑 :
ndo Mana Kuna baadh ya gari hasa G410 hua zinajizima Automatic zenyewe ndan ya dakika tu
2026-07-02 07:31:07
7
dogo.peter6
mtu Kaz 💪 :
uko sawa mkuu
2026-07-02 10:50:51
2
dickwkundogroka
dick(wkundogroka) :
imeisha hiyo💪
2026-07-02 02:55:43
3
mtangaog2
Ramaaa :
Nikweli hiyo kwaambao wamepata mafunzo SCANIA watakuwa wanalijua hilo
2026-07-02 10:29:41
3
sangolo02
Edwards :
nimekupata sasa
2026-07-02 15:48:00
1
kizunga72
kizunga :
ndiyo hivyo mkuu
2026-07-02 17:53:21
1
master17446
Master :
2026-07-02 11:49:44
1
wapesalaam
wape salaam :
tunaishi kwa mazoeaaaa
2026-07-02 08:35:41
1
jonathan.brighton3
Riziki Brighton Minja🇿🇦 :
Mimi nikifika nazima hap hapo sina mafuta ya mchezo
2026-07-02 05:57:20
3
yaoboy47
YAO.BOY :
Gari mnayo endesha mimi linazimika Automatic 😂🔥💪
2026-07-02 12:31:13
2
akbarbachir
Bashir257 :
Saw kak ila huku ni Africa tunajiamulia sana mambo😂😂😂
2026-07-02 10:11:31
3
andrewasamwely9
G 8 :
ukitoka apo nisomee ya stop engine
2026-07-02 02:20:34
1
noeldamas6
Travel 🚛🚦🛣📵🇰🇪🇹🇿🇿🇲 :
Najee kwa izo Daki temprecha inakuwa ishashuka au inakuaje apo.
2026-07-02 05:50:30
1
kimsleila
Kims leila :
Mwalimu na vibanio vip sasa🤣🤣🤣
2026-07-02 06:23:17
1
identical86
identical :
bora umetupa elimu...ka alphard kangu nilikuwa nakaacha mpaka dakika 15 nikitoka safari...basi kuanzia leo ni dakika moja tuu nazima
2026-07-02 05:31:26
3
ikwabe38
HUSTLE DRIVER🇹🇿🇺🇬🇿🇦 :
Saiz umekuwa mwalimu boy
2026-07-02 04:02:45
1
mduduwadampo3
SCORPION :
kongole kwa dereva wangu mana alkuwa zaid ya dereva kwangu
2026-07-02 08:35:32
1
__msryta
__msryta🌹 :
we bhan mbn ndio hivo tunafanyaga miaka yote hadi kwenye gari ndogo😅😅😅kiukweli unanchanganya😂😂😂
2026-07-02 00:55:29
3
el_maskery_tz
✨AL-saudi-rukwa💫 :
#AVERAGE... #IDOL...
2026-07-02 07:27:19
1
kimsleila
Kims leila :
Au n vibanio vya kwenye gari😂😂😂 mimi nimeelewa vibanio 🙈🙈🙈🙈
2026-07-02 06:24:20
1
To see more videos from user @karim_kims, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About