@atuganilemwakosya: PROPHETESS ASIFIWE DGM: "Mwanamke asiyetaka kutawaliwa, ni bora asiolewe." Prophetess Asifiwe DGM amesema kuwa ndoa inahitaji utayari wa pande zote wawili kuheshimu wajibu na mpangilio wake. Ameeleza kuwa ikiwa mwanamke hana utayari wa kuishi ndani ya misingi ya ndoa na kushirikiana na mume wake katika uongozi wa familia, basi ni bora asifanye uamuzi wa kuolewa mpaka atakapokuwa tayari kwa maisha ya ndoa. Mwanaume ndiye kichwa cha familia na Haki sawa ni mpango wa Agenda ya Mpinga Kristo@Prophetess_DGM
Atumedia Gospel Tv
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 03:38:54 GMT
Music
Download
Comments
Denis wa laizer :
hongera sana umeongea point
2026-07-02 10:18:18
8
TRUE EYES :
that's true🙏🙏🙏
2026-07-02 09:02:55
4
JPM :
nimekukubali
2026-07-04 03:46:23
1
Martinpaulooneagmel.com :
unasema kweli
2026-07-22 16:16:19
1
JONASBISIMWA :
kweli kabisa
2026-07-03 19:04:49
3
tumain :
kabisa mama upo sahihi
2026-07-12 04:44:14
1
bruhani :
Mungu akutie nguvu ana uendelee na ujasiri huo wa kusema kweli
2026-07-06 17:12:56
2
Gabriel ruben :
ameeeeeeeeeeeeeeeeee
2026-07-12 17:28:22
0
Richard :
Huduma Yako Iko wapi maana nautamani Barikiwa
2026-07-19 08:42:57
0
devotha :
ameeeeen mama anguu is very trueee
2026-07-03 13:41:27
1
Ramsey Junior :
saf sana dada ww unamjua mungu
2026-07-04 18:38:01
3
prisca pafyumuu :
Truee mumy
2026-07-24 19:47:45
0
# :
yeah ofcoz
2026-07-02 16:47:44
1
Emmanueli jakobo :
emen
2026-07-16 09:44:09
0
user7661180141962 :
wanawake wengi hawapendi kusikiya hivyo.
2026-07-26 15:54:43
0
papaa mahenge :
hii imekaa vizuri
2026-07-02 18:07:31
3
Magembe Spare parts :
unatafuta comment gani ndugu
2026-07-10 12:07:28
1
Hellen :
Mama angu ❤️🙏
2026-07-02 10:15:13
0
Msafiri Mwita :
🙏🙏🙏 waooh nimekukubali kuliko rose shaboka na Leahndambile wale wameooteana
2026-07-07 05:22:04
0
TALAMBE HOUSEWARE :
amen
2026-07-06 11:20:52
0
fredrickraphael40 :
Ukweli mtupu! chukua like
2026-07-08 09:28:45
0
user4544323307098 :
amen umedufariji dada
2026-07-13 17:57:09
0
user9402781343163 :
amen ubatikiwe sana
2026-07-20 13:18:16
0
user3117303516908 :
AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
2026-07-12 15:31:20
0
Agricultural Consultant :
Amina Mama
2026-07-02 12:00:24
0
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.