@drbenedicto: Bawasiri urudi baada ya upasuaji, Upasuaji huondoa bawasiri au uvimbe unaoonekana lakini hauondoi sababu zilizochangia kutokea kwake. Sababu zinazoweza kufanya bawasiri irudi ni pamoja na: ❌️Kufunga choo mara kwa mara (constipation) na ❌️kujikaza sana wakati wa kujisaidia. ❌️Kukaa chooni kwa muda mrefu, mfano kutumia simu ukiwa chooni. ❌️Lishe yenye nyuzinyuzi chache na kutokunywa maji ya kutosha. ❌️Mimba na kujifungua, ambazo huongeza shinikizo kwenye mishipa ya eneo la haja kubwa. ❌️Uzito mkubwa unaoongeza shinikizo kwenye mishipa ya nyonga. ❌️Kuinua vitu vizito mara kwa mara au kazi zinazohusisha kujikaza sana. ❌️Kuharisha kwa muda mrefu, ambako nako kunaweza kuwasha na kuathiri mishipa ya eneo hilo. Kwa hiyo, hata baada ya upasuaji, kama sababu hizi hazitadhibitiwa, bawasiri ujitokeza tena. 🎯Tiba ya kukusaidia kumaliza bawasiri kutoka kwenye chanzo ipo na bawasiri haitakusumbua tena. 📞piga simu kwa msaada wa matibabu +255629088992 #trending #tiktoktanzania🇹🇿 #foryou #fyp #congolaise🇨🇩
Afya Imara
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 04:36:46 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @drbenedicto, please go to the Tikwm
homepage.