@abdulkadirharoon3: #creatorsearchinsights

KOYAMA TV
KOYAMA TV
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 02 July 2026 05:14:58 GMT
60711
4595
129
413

Music

Download

Comments

abdulkadirharoon3
KOYAMA TV :
Kwa ujumla, kusamehe ni bora kuliko kutosamehe, ikiwa inawezekana kufanya hivyo kwa hiari na kwa usalama. Faida za kusamehe ni pamoja na: • Hupunguza hasira na chuki. • Husaidia kupata amani ya moyo. • Huboresha mahusiano pale ambapo yanaweza kurekebishwa. Hata hivyo, kusamehe hakumaanishi kuruhusu mtu aendelee kukudhuru. Unaweza kumsamehe mtu lakini bado ukaweka mipaka au ukaamua kutorudisha uhusiano ikiwa una madhara.
2026-07-02 05:28:43
19
user2133014144950
@ummy ima :
wanawake tunasamekhe ila hatusahau nandio maana ngumu kurejesha upendo tukipenda tunapenda na tukiacha tunaacha 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-02 12:11:46
14
sarah.nailaka
Sarah nailaka :
for give him but don't tell him to back in your life
2026-07-02 14:39:26
7
shaba.alio
shabaa aliyow omurow :
mm tunakutana kuwa mbali ya allha
2026-07-02 11:45:14
2
dvoice221
mhedu :
nilimsamehe
2026-07-02 06:31:25
2
user7409002178172
yuuu bts :
swadkta no excuses
2026-07-02 10:21:37
2
user4518715472905
user4518715472905 :
umsamehe hakuna mkamilifu
2026-07-02 10:02:09
4
umu.thwaha
First lady :
Mimi nilisamehe lakini kurudiana nae hapo siwezi
2026-07-02 10:06:01
3
hawakadzomba
Hawa kadzomba :
msamaha ni bora kuliko vtu vyote mungu pia hubriki wanaosameana.
2026-07-02 13:56:31
4
zaituni.juma.siuh
zaituni Juma siuhi :
mm na swali
2026-07-02 11:12:47
2
ndikumanadeborah
64165686 :
nilimusameh
2026-07-02 08:03:27
2
aishamasoud06
aishamasoud945 :
tutamsamehe ila hatuta kuwa nae karibu tena na tukuwa nae makini
2026-07-02 09:13:09
3
its_hawa86
❤️‍🔥It's_Hawa🌹🌹 :
mbna umenizimia maiki🙆
2026-07-02 12:56:21
1
user35949565614484
mwansa Beso :
kusamehe
2026-07-02 10:14:04
2
isabellamwangeti
Bella simmy :
namsamee ila akae mbali nami
2026-07-02 07:53:22
5
muktarshabura5
Muktar H Shabura :
msamehe Allah anakusamehe
2026-07-02 07:26:18
2
user4272474339074
Natasha :
kweli true amen
2026-07-02 18:13:56
0
halwiw
hilda :
very true
2026-07-02 18:36:28
0
useransaal
Official fahty🤙 :
usimsamehe ajifuze
2026-07-02 06:51:38
2
rayyan_.47
🖤 :
kusamehe
2026-07-02 07:37:27
1
kurusum.djuma
Kurusum Djuma :
kusa mehe
2026-07-02 08:33:51
1
_zaidi01
Hussein :
wakwanza yupo sawa upande wangu
2026-07-02 12:28:26
0
habonimana.zabibu
ZABIBU WAUKWELII :
kusame
2026-07-02 09:36:54
1
user9920660055767
Alhamdulillah :
Nilimsamehe ila sitowahi sahau
2026-07-02 13:48:04
1
user8471226010776
mwanamisi islam :
kutomisamehe
2026-07-02 09:02:37
1
To see more videos from user @abdulkadirharoon3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About