@tanzania.zion: Waumini wengi hukiri kuwa wanampenda Mungu, lakini Mathayo 7:21 inaonesha kuwa kusema hivyo tu haitoshi bali tunapaswa kutenda mapenzi ya Mungu. Je, tunayajua yaliyo mapenzi ya Mungu? Ni vyema kutokuwa kama Sungura ambaye hakujua alipokuwa anaenda hivyo akaishia pabaya. Tunayo Biblia kama ramani ambayo inatusaidia kujua tunapokwenda. Karibu kwenye madarasa ya biblia kila Jumatatu, Jumanne, Alhamis na Ijumaa ili kujifunza na kufahamu mapenzi ya Mungu. Bonyeza link iliyopo kwenye profile kujisajili na kwa msaada zaidi tutumie ujumbe kwenye DM yetu. 📞Wasiliana nasi kupitia namba. (+255 652 376 078) #Jifunzebiblia #somabiblia #God #Jesus

Tanzania Zion
Tanzania Zion
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 05:48:44 GMT
868
82
5
4

Music

Download

Comments

pips_addiction
PIPS ADDICTION :
Amen
2026-10-16 01:43:17
0
muhapa.tz
muhapa tz :
Amina
2026-07-02 10:23:07
0
smilepips1
smilepips :
amen
2026-07-02 12:20:49
1
..doycab
Doy ca B :
bwana yesu asifiwe. naomba nijue chuo hiki kwa mbagala kina patikana sehemu gani
2026-07-03 07:42:26
0
To see more videos from user @tanzania.zion, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About