mi na kumbuka kuna boiz alikua ana ishi juu ya ceiling ye alikua anatokea Tu masaa ya chai, lunch na supper hio time ingine yote ame doz kutoka form 1 adi form 4 ajawai patikana 😂
2026-07-04 14:36:42
3
𝓡𝓪𝓹𝓱𝓪ë𝓵 :
kwani ni shule yetu pekee watchman alikuwa anafanya rounds kumake sure kila mtu ako class
2026-07-02 14:42:36
2
Sidz :
Alafu unakumbuka ulisahau ku wipe.
2026-07-04 19:03:56
0
kendy Queens :
🤣🤣🤣🤣
2026-07-02 22:52:33
0
To see more videos from user @alcazar._, please go to the Tikwm
homepage.