@cham.boy: “Niliolewa ili kulinda Heshima ya Familia ila Mwanaume Sikumpenda “ Bi.Chau. Video🎥by Me #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokviral #tiktokindia #tiktokburundi🇧🇮
kwaiy Kun wengn huolewa kulinda heshima ya wazee t
2026-07-02 07:45:54
180
mtumwahamidu :
hhahhhhaaaa muhogoooo si uhondo🥰🥰🥰😂😂
2026-07-04 13:48:51
1
swaira_360 :
Uyu bibi azeeki jmn 🥰
2026-07-02 14:47:43
97
wanamngatwa :
huyu ni mm niliolewa kwaajiri ya familia
2026-07-02 08:02:18
88
Ms•Habeeba🍀 :
sauti kama nicole
2026-07-23 06:18:33
19
Marie :
bibi anasauti nzuri ajabu🥰
2026-07-03 08:12:02
28
Baby candie :
duuuu kumbe kuolewa ni kulinda heshima tu
2026-07-02 07:52:09
52
sanamohaz :
bi chao ni mmoja tuu
2026-07-02 11:49:48
66
Janeth Joseph Julius 53 :
bibi yupo sahihi kabisaaa aiseee tunaolewa kulinda heshima za familia zetu
2026-07-22 10:55:17
18
MRS SALIM :
yeah kama my cusin
2026-07-02 12:15:02
5
babybinmgalla.18 :
nampendaga mimi huyu bi chau movie zake haziniishi hamu
2026-07-02 12:47:05
27
nice girl :
nimengundua napenda umbea
2026-07-03 12:16:42
13
sindy0013 :
uhondooooo🥰🥰
2026-07-02 11:25:45
8
NANCY PAMBA KALI :
saut nzuri bi chau
2026-07-02 16:04:46
8
tomathy😅 :
he ko mama akuwahi mpenda baba heeeeeeee😅😅😅
2026-07-02 13:57:52
10
Kumar's ali :
hata mimi sikumpenda nililinda heshima ya wazazi lakini nilipo ingia ndoani ni limpenda tukajaliwa nawana mpaka sasa twapendana pia nimzazi mwenzangu nashukuru
2026-07-07 05:07:21
8
Mealii :
hadi raha mashaallah 🥰🥰🥰
2026-07-02 12:05:57
5
Farhat Sharifa :
ununio naomba marafik wa ununio
2026-07-02 11:58:08
9
Baby J💚🦋 :
Anaongea kama marehemu aunt yangu Mungu amlehem 😭
2026-07-05 06:39:17
6
M :
hukumpenda au hakukupenda?
2026-07-23 18:49:03
2
maŕy katana :
Nakufa na utamu wangu😂😂😂😂we huogopi😂😂😂😂
2026-07-24 07:41:36
2
Lalina23 :
Mimi ningewaadhili tu wazazi jamani 😂😂😂 wangejua wenyewe
2026-07-24 05:51:09
4
To see more videos from user @cham.boy, please go to the Tikwm
homepage.