@agnesjailos7: yanga yetu tutaendelea kuienzi daima mbele nyuma mwiko💛💛💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚🫡

agnesjailos7
agnesjailos7
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 07:43:57 GMT
36907
3244
256
35

Music

Download

Comments

user1120365428172
Emma's smkanga :
poleh saana shujaa wetu wa nguvu kiukweli tutakumisi saana wakati wote ambao utakuwa ukiuguza majeraha yako tunakuombea sana kwa mungu akuponye haijalishi n kwa muda Gani bado tunakuhitaji saana kaka .
2026-07-02 16:28:41
3
leilaissasariko
leilaissasariko :
mwenyezi mungu akufanyiye wepesi upone kwa haraka
2026-07-02 08:59:24
2
user2832370724937
fatuma :
pole broo
2026-07-04 02:52:40
0
bahatmwanjal
Bahat Mwanjal :
mung mwema utapon ndug
2026-07-02 08:17:48
3
omaly.msapot
omaly msapot :
mempakaleo pacome chakula lon kupita shida san kak toka ulivo umya mungu akusaidye uwai kupona naulud yang ISHALHAA
2026-07-03 09:17:27
2
g45mhomba_jr
user1527737352205 :
Mungu akubalik utapona
2026-07-02 15:23:42
3
frank25571
Frank255 :
mwenyezi mungu afanye wepesi kwako upone halaka
2026-07-03 21:19:57
1
hijraty8
it's mine🦋🦋🦋 :
pole san kipenz chetu mungu atakuponya na utakua fit kuliko mwanzo allah huma ameen🙏🙏🙏
2026-07-02 20:17:57
0
user7875046382823
el!as r3natus :
daah mwenyez akufanyie wepes upone tunakuombea tu kwa mwenyez mungu akuponye haraka
2026-07-03 17:39:13
1
samwelisimbi
Samweli Simbi :
ee mungu nakuomba umfanyie wepesi pacome umtie nguvu na moyo wa ujasili atapona Kwan uwezo wako ee mungu
2026-07-03 18:21:26
2
user9887782282000
panya_msela 45 :
mwenyezimungu akufanyie wepesi upone harak
2026-07-03 18:23:20
1
ashamahimbo887
Asha Mahimbo :
pol san
2026-07-03 17:53:50
0
kanyuka.tz1
@official_hasandro_tz💣 :
Pole sana pacome mungu akitangulie upone urudi kwenye ubora wako
2026-07-03 14:40:54
1
grolyan.mussa
Grolyan Mussa :
mwenyez mungu atuponyee wew kipenz uwah kuamka jaman😭😭
2026-07-03 05:20:22
1
user611528290501
Mysala :
pole sana kaka Mungu nimwema utapona
2026-07-03 04:21:40
1
nuru6207
nuru :
pole my dear pacome
2026-07-03 16:56:39
0
london_in_dar_og
london_in_dar_og :
pole pacome💚
2026-07-03 19:19:28
0
christinatango258
Priscka Mayko :
pole canaa
2026-07-03 03:47:21
0
damarynyamhanga
damarynyamhanga :
utapona kipenzi
2026-07-02 07:58:29
1
user39758529346238
Kamba :
pole
2026-07-04 22:03:08
0
abdulally3429
Abdul Ally :
mungu akusaidy upone fundy wqnguu
2026-07-04 20:47:02
0
user1569238471843
baraka samwel :
pole sana
2026-07-04 20:21:38
0
bahatimedani
Bahati Medani :
pole sana kipenzi chetu
2026-07-04 20:50:19
0
user9538146398340
bundala :
pole sana shujaa wetu, Mungu, yupamoja nawe
2026-07-04 19:24:10
0
abubakal.iddy0
abubakal iddy :
pole pakome japo mimi simba sipasikuku chukia mimi binadamu nawewe binadamu tunakuombea kwa mungu 🤲🤲🤲
2026-07-04 21:35:37
0
To see more videos from user @agnesjailos7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About