@mr_plane_b: Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA BAVICHA,Deogratias Mahinyila, amesikitishwa na taarifa za kifo cha Suez Dani Maradufu, aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche. Akiongea na BAVICHA MEDIA,Mahinyila amesema amepokea kwa Mshituko na huzuni taarifa za msiba huo, akimtaja marehemu kuwa alikuwa mtu mwenye utu, kujituma na mchapakazi Muaminifu. Aidha, Deogratias Mahinyila Ameongezea kwa kusema , "Sijui niseme nini? Suez Dani Maradufu alikuwa mtu mwema sana. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake. Kama kifo chako kimebeba fumbo lolote, muda utakuwa mwalimu mzuri. Tutajua Kapumzike salama Kamanda." kwaniaba ya Baraza la Vijana BAVICHA Mahinyila Ametoa pole za kwa familia ya marehemu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ndugu, jamaa, marafiki, pamoja na viongozi na wanachama wote wa CHADEMA, amewataka kuwa na moyo wa subira na kuendelea kumuombea marehemu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na CHADEMA, Suez Dani Maradufu amefariki dunia leo, Jumatano, Julai 1, 2026, akiwa katika nyumba ya wageni mjini Kigoma. Mwili wake umechukuliwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma kwa ajili ya uchunguzi na taratibu nyingine. “Bwana ametoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana lihimidiwe.” #SikuYaVijanaDuniani #FreeTunduLissu #KijananaKatiba #Tukutane Dodoma
𝙈𝙍 𝙋𝙇𝘼𝙉𝙀 𝘽 🛩️💻
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 07:45:38 GMT
Music
Download
Comments
J.4 :
ila wewe mzeh pole sana
2026-07-02 17:47:35
0
JIUNGE NACHAMA ATUTOWI KAFARA :
kuma ww
2026-07-02 16:56:20
0
Hashim said :
ww mwenyewe hujielewi
2026-07-02 08:47:52
1
Deo Mushi :
Mungu akupe hekima
2026-07-02 15:28:21
0
jay my G :
huyu nae nan??
2026-07-02 09:28:40
0
aziz mkumbo :
bsba unajiamlia mambo
2026-07-02 09:53:11
0
BURKINA :
uchunguzwe ww
2026-07-02 08:16:39
1
bakari mkangara :
mwandambo ludi kanisani laana ya mungu inakutafuna
2026-07-02 13:09:10
0
SKY VIEW* :
Nchi imekwisha hii.
2026-07-02 09:53:08
0
rrr :
niatali
2026-07-02 13:28:01
0
To see more videos from user @mr_plane_b, please go to the Tikwm
homepage.