@kijonjojnr: Maendeleo ya soka la Japan yanaendelea kukua taratibu na lengo lao kubwa, Ni kuhakikisha mpaka 2050 tayari wawe mabingwa wa kombe la dunia. Utekelezaji wa mipango yao ni mkubwa mno na wanafanya jitahada kubwa kuhakikisha wanakuja kufikia malengo yao.. #Soka #KombeLaDunia #Japan #StoryZaSoka #FYP