@kambi_health: nyongo (bile) kutotengenezwa au kutotoka vizuri inaweza kuchangia gesi tumboni na matatizo ya mmeng’enyo, hasa baada ya kula vyakula vya mafuta. Kazi ya nyongo ni kusaidia kuvunja mafuta ili yameng’enywe vizuri. Ikiwa nyongo haitoki vizuri—kwa sababu ya tatizo la ini, kibofu cha nyongo, au mirija ya nyongo—mafuta yanaweza yasimeng’enywe vizuri, na hii inaweza kusababisha: * Gesi tumboni * Tumbo kujaa/kuvimba * Kichefuchefu * Kujisikia kushiba haraka * Kinyesi chenye mafuta au kinachoelea * Maumivu upande wa juu kulia wa tumbo (hasa baada ya kula mafuta) INI (liver ) likichoka hudhalishaji wa nyongo hupungua na kuleta matatizo ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kama GESI TUMBONI Chukua hatua haraka uonapo Hali gesi Tumboni #tiktok #acidreflux #viral #acid #fyp