America,Russia,Kenya have thr best Army in the world and they dont train like this ✌
2026-07-17 14:59:07
0
KOPLO 01 :
Good job 🙌
2026-07-17 13:46:35
0
Ciden Kimaro :
I still call it slavery...there are too many other ways to build solidality.
2026-07-17 14:50:06
0
mswati 3rd :
wakati wenzetu wanawafundisha kurudha drones, sisi tunajifunza kuingia mtaroni 😢
2026-07-17 11:42:58
48
BRAVE MAN TZ🇹🇿🇿🇦* :
Huruma sio malezii
2026-07-17 14:55:52
0
N O T E C H :
i like to be a solder😁
2026-07-17 14:26:15
0
allenjaka :
inasaidia nini kama ukipigwa na bom😅😅
2026-07-17 11:25:49
34
chacho mbala :
sipeleki mwanangu ata kama ana kaz ya kufanya ntamfundika kupika mandazi
2026-07-17 15:07:42
2
PRICE ACTION :
hizo fimbo na kuzima moto vinauhusiano gani
2026-07-17 13:48:24
9
Dad's Son :
Aaah kwa ninavyojijua nahisi ningeruka na mmoja na jeshi ndio ingekuwa mwisho😂😂
2026-07-17 12:16:38
6
DUKAJIPYA :
Dunia imebadilika Kuna haja kuwekeza kwenye tekenolojia zaid
2026-07-17 16:25:05
1
_mystic :
daah zote ni dhiki hizi watu wanatafuta hela jamani🤲🙏🥲
2026-07-17 13:28:44
2
𝐆𝐞𝐫𝐬𝐨𝐧 ✧✧ :
Kmk nilikuwa nakufa na mmoja kati yao
2026-07-17 14:19:52
2
katwe :
Huu ni utumwa mambo ya kizamani kbs
2026-07-17 14:58:51
2
Drochu_meddy :
Jeshi gani hili
2026-07-17 12:39:31
1
Abdul mkunja :
kozi ikiish ntamtafut mmoja mmoja
2026-07-02 11:00:40
9
panda@04 :
😭asante afande
2026-07-05 18:58:28
5
MARIDA ELECTRICAL 🔋🪫 :
nilipigwa sana hapa
2026-07-02 19:33:26
0
Jamesfludi768. :
sijawahi kuona Chinese army wakichapwa lakini ni strong
2026-07-17 12:25:08
4
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮𝐫𝐞🇹🇿 :
Badilisheni mbinu, karne nyingine hii
2026-07-17 13:00:55
4
chris_tyan1 :
sasa kuna haja gani ya kupigana viboko??🥺🥺
2026-07-17 14:47:57
1
kasbeti :
sasa ayo mafunzo au
2026-07-17 13:51:43
1
@fficial viwalo :
kuna watu naona wanalahum hyo ni mojawapo ya coz au mafunzo yanakufanya uwe chapu kuamua jambo linapotokea tatizo au jambo lolote like ila ukianglia utaona kama wanakosea lakini hapo wanawatengeneza kisycholojia
2026-07-17 15:43:57
1
To see more videos from user @its.shubeboy, please go to the Tikwm
homepage.