si kila kitu ni redflags mzee ukiwa unaona negativity kwenye kila kitu bas hata matokeo yako at the end of the day yatakua negative Kuna mda mwanamke atapigiwa simu na mzazi Kuna mda ni mishe za kaz kwasababu Kadri mda unavoenda hata majukumu yanaongezeka Kuna mda hiii mitandao inaweza fanya uchukie wanawake na kuwaona wote wabaya kwa kusikiliza kila ushauri au motivational speaker Kuna mda unganisha na zako
2026-07-23 09:12:45
1
Ashqueen💙🦋 :
sometimes sio mwamb ni mishe za kazi,stay postive
2026-07-14 15:10:25
1
@123456 :
Kwani wanaume hawafanyii ivyooo au 🤣🤣🤣 hizo ziko pande zote mbili kwaiyo na wanawake watafute wanaume wengine saiv ni kuvumiliana tu bc kesi kwishaa
2026-07-15 21:54:48
0
To see more videos from user @iam.rosso, please go to the Tikwm
homepage.