@alio.sidia: 🤲📢 MashaAllah! ⚽🕌 ✍🏼Hakika ni jambo lenye kutia moyo kuona wachezaji wakimtanguliza Allah kabla ya kuingia uwanjani. Mafanikio ya kweli huanza kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu. 📢Wachezaji wa timu ya TAIFA ya capeverde walionekana wakiwa wanaswali Swala ya pamoja kabla ya Kuingia uwanjani, 🤍📍 Mtume ﷺ amesema: "Yeyote anayemtegemea Allah, basi Yeye humtosheleza." (Maana ya Qur'an 65:3) 🤲Tunamuomba Allah (SWT) awaongezee imani, awathibitishe katika dini Yake, awape afya, mafanikio na aweke baraka katika maisha na taaluma zao. Ameen. 🤲❤️ MashaAllah, TabarakAllah! Mwenyezi Mungu atujaalie tuwe miongoni mwa wanaodumu katika Swala na kumkumbuka Yeye katika kila hali. 🌹🕋 #aliosidia