@kavishemotors: #zote zipo ofisini, tunavunja vunja na gari nyingine tupigie simu au whatsap 0757.583.311 pia tuna huduma ya kulipa kidogo kidogo. Tupo magomeni dar es salaam Tanzania, karibuni sanaa tunawapendeni sana wateja wetu, nyie ndio mnao tuweka mjini 🤝. #kavishemotors #luxurycars #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿
Kavishe motor's🚔
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 11:13:40 GMT
Music
Download
Comments
cleophace Simeon :
crown inazidiwa na subaru
2026-07-10 11:46:56
2
Eliah mwakyembe :
lc 300 umeme🫡🫡🫡🫡
2026-07-26 09:46:30
0
ogambi jr :
Nina Mazda x5 naweza vunja na hii
2026-07-24 17:23:07
0
HK :
Hzo wajiandae kuziendesha wenyewe tumehamia kwenye umeme saiv
2026-07-23 08:53:35
0
Op Mwisho :
mi nataka iyo nifollow ndugu yangu🙏
2026-07-02 14:55:44
2
Crissbees :
kati ya hayo yote we una lip?
2026-07-23 17:23:01
0
Medy soa :
kwa hyo mafuta yalibopanda na bei za magar zimepanda?
2026-07-20 19:41:39
0
Micky Orj :
gali ya kwanza na yamwisho ujaziandika bei
2026-08-05 15:27:41
0
costa :
bado hujapost za bei zangu
2026-07-25 09:38:24
0
GAUCHO 5️⃣4️⃣ :
Ntanunua yakishuka bei
2026-07-05 15:34:48
0
Samir jr 10 :
mungu hi Nissan x trail ishallah يا رب العالمين إذا قلت لشيء كن فيكون
2026-07-19 10:53:59
0
Betty Massawe :
kwa hiyo hii yangu sio ndinga siioni ktk bei
2026-07-09 04:04:41
0
J* :
safi
2026-07-02 19:17:53
0
faustine :
mazda
2026-07-02 12:40:59
0
Yona Kidawa :
embu tuamby bei halisi y anaconda bhna ni ipi?
2026-07-04 08:03:40
0
amrimazwili255 :
siwez kuku follow hujaandika bei ya ndoto yang - vangard au kullugar
2026-07-03 10:35:44
0
kime b2 :
🥰🥰🥰
2026-07-02 11:34:20
0
theresiamworia :
😂😂😂
2026-07-02 13:20:15
0
Steve :
😁😁😁
2026-07-04 08:18:02
1
Lyler98 :
🤲🤲🤲
2026-07-19 08:58:36
0
To see more videos from user @kavishemotors, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.