@braydesm.simba: Hii Surprise Ilikuwa ya kibabe sana @MONALISA MALL @J TOWN MOTORS Nani Mwingine Ungetamani Tumfanyie Surprise 😳 💕🌹🚶‍♀️🌺💐🌷🥀🌸🦋💕

braydesm.simba
braydesm.simba
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 11:21:20 GMT
55747
3665
210
90

Music

Download

Comments

pritty196
@Itz_me🧚‍♀️ :
Mungu nisaidie na mm nimpe mamaang baba atajisumbukia huko😭😭
2026-07-02 15:31:54
55
kixdijah2
Muhrat’s mom💓 :
Na mm mungu si anipe ela nimpe ata saa⌚️tu baba angu🥺🥺
2026-07-02 13:14:53
34
preciousnairat
Daddie's Daughter🤍 :
One Day I must do this for my Daddy inshaallah 😔🤲
2026-07-02 18:50:59
14
lovely108244
Lovely collection🛍️👗 :
Huyu ndo baba sasa kuna sisi tulikataliwa 🥺🥹
2026-07-02 17:29:22
29
mwaija.madinda
mwaija madinda :
Ukiwa baba bora watt watakusamini sana kwa kidogo chao
2026-07-02 15:09:48
11
farhiya2031
Farhiya💦❣️💫 :
mie pia nikimuona bab yang nitampa zawad ya mawee mana😂😂🫴
2026-07-02 20:18:13
5
nurucollectiontz2
NURUCOLLECTIONTZ BACKUP :
ameongea kwa upole na upendo mkubwa jamani Hadi raha
2026-07-02 15:06:07
18
nanatrissah2
…T🦋 :
Sijui nalia nini 😭😭
2026-07-02 15:02:21
6
doreenshabani4
pretty🦋🦋❤. :
af kuna mtu anakataa mimba🥹🥹🥹
2026-07-02 17:56:49
13
sallyyyy237
sally style collection👗🌹❤️ :
Nikejiwekea nadhiri mbele ya mungu, naomba siku nije nimfurahishe mama angu kama hv, aisee amenipambania san 🙏❤️
2026-07-03 12:23:40
8
geeet65
D♥️ :
mi naliaa😭
2026-07-02 18:00:53
2
lucymwaitereke
🤴lucy :
nimejikuta nalia jamanii😭😭
2026-07-02 17:59:26
1
mrs.audax
mrs audax :
najiunganisha na hizi baraka Mungu one day nitamfanyia baba yangu
2026-07-02 17:56:02
1
careenstavian
Karen ❤️❤️ :
Wababa mnaokimbia mimba mje mjifunze hapa
2026-07-02 17:29:40
7
queenfortune011
It’s tume🛍️ :
Sijuw nimelia nn 😢😭
2026-07-03 12:36:54
1
wanjipa
wanjipa :
Mungu anisaidie niwapee wazazi wangu aisee
2026-07-03 20:09:37
1
lomi0023
lomi~bliss og🎀 :
et nalia 😅
2026-07-02 18:09:34
1
nusratyochu
Aythar Beauty💃 :
Ningemfanyia hiv bas tu atafanyiwa n wanae alowapenda🙌mungu nifungulie nimfanyie mama angu na wale walokuw karib kunilea🙏
2026-07-03 08:40:30
1
imeldambilinyi8
imeldambilinyi751 :
mniulize mm nalilia nini😭😭😭
2026-07-02 17:46:59
1
kuntykinangu966
Kunty Kinangu :
mungu nipe na mim hel nimzawadie bab angu
2026-07-03 08:32:10
1
eyebird019iren
Mama chesa cake and mtindi poa :
najiunganisha na madhabahu hya ipo siku na mm nitafanya jambo kwa wazaz wang
2026-07-02 17:59:03
1
fwanesa0
@Fwanesa🌹😍 :
🥲ad machoz yamenitok
2026-07-02 12:51:47
3
ombeni.david8
OMBENI DAVID :
Mungu nilindie baba yangu mpaka sikinitakayo pata chochote chakumupa baba nakupenda sana mwanao
2026-07-02 17:23:41
3
To see more videos from user @braydesm.simba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About