@jaystyles_design: Apo nani apewe lawama JAMANI?? #viralvideo #viral #jaystyles #wedding #trending

JAYSTYLES
JAYSTYLES
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 12:22:05 GMT
60896
2149
77
142

Music

Download

Comments

mama.glory.kimath
Mama Glory kimath :
rafk yangu angefurah mno mimi kudharirika na mvua 😂😂
2026-08-23 19:45:50
47
wendydebossie
Wendy De Bossie :
Sasa Hawa ndo marafiki Sasa🥰🥰
2026-08-23 14:48:05
23
angel.pastory3
angel pastory :
yaani wangelikiwa marafiki wa Dar es salaam wangemkimbia hawapend Mvua yaan wao hawaogopi kuvuka na kupishana na magari ila mvua utaona kila mtu mbio
2026-08-23 17:55:24
17
wa.g07
It’s renny :
Ingekua marafiki zangu wangeenda kuchekea choon🤭
2026-08-24 18:53:43
2
hopemusictz1
hopemusictz1 :
utakuta ndo wameleta mvua🤣🤣
2026-08-24 04:10:40
5
veronicaephrate
venda :
asichokijuwa ni kwamb ilipendeza zaid
2026-08-23 06:50:31
14
userevemnisi
MnisEve. :
rafiki yangu Happy,ingekuwa sisi siku ile sendoff yako ningejikuta nishakimbia nimekuacha si unajuaga vile nipo mbele ya muda😂😂😂😂
2026-08-24 23:28:34
2
user47669554891754
user47669554891754 :
Baraka hizo wala usilaumu
2026-08-24 15:11:41
2
catherine.rechard
Catherine Rechard :
Sasa hawa ndo marafiki wa kwenye shida na raha
2026-07-24 15:53:43
8
user1768561706310
prinses sasha🤑 :
wangekua marafiki zangu sasa kina consolata 😂😂
2026-08-23 17:22:08
4
merrypaul5210
💞 twissa💞 :
Hadi Raha jaman 🥰
2026-08-21 13:35:26
1
usertheodora09
usertheodora :
MUNGU anaruhusu jaribu ila anakupa na mlango wa kotokea..❤️🙏
2026-08-22 10:29:55
3
mumy.naylah.24
mumy naylah 24 :
wamepata Baraka tele
2026-07-02 14:59:23
4
elizabeth.tatta
Elizabeth Tatta :
🙏😭😭thou mvua ni baraka
2026-07-07 04:25:21
2
user8019278211429
ROSE NGUYU :
mbona wananyeshewa jaman
2026-07-04 11:48:57
1
user3930231667623
Paulina kilasa :
wanakamati
2026-07-02 14:38:26
1
kidevu2
Miles :
learn to adjust.... learn to lemonade the lemon....hakuna kinacho potea wala kuharibika. ifanye hadi watu waone ni fastening wakuige
2026-08-24 16:42:19
0
jujuchriss1
Jujuchriss🩷 :
Urafiki wa maana sana huu
2026-08-24 20:10:52
1
aavvllllvvvvvvvv1
🖤VR🖤 :
Watu hatujui tu ila mvua ikinyesha siku ya jambo lako ni jambo jema mno kiroho🥰
2026-08-24 19:49:09
0
irenena.biashara
IRENE-NA BIASHARA ZAKE🌸 :
Ilinikuta Hii sina hamu 😁🙌🏽
2026-08-27 10:56:56
1
mamkubwa88
✌️ ❤️ :
kukimbia imekatazwa?
2026-08-25 05:54:50
0
grkzee
grkzee :
Marafiki wa kweli
2026-07-14 14:43:23
2
To see more videos from user @jaystyles_design, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About