mwenyenzi mungu amwepushe na hila zote za ulimwengu huu na amfanyie wepesi kwa kila atua zake za maisha, na wote wenye kumpenda mtoto wetu waseme ameen🥰🥰
2026-07-02 19:28:25
598
Suzy Edwin :
kazur katoto kako😍😍
2026-07-02 17:30:11
231
Mrs ommy✨ :
kana vibe had raha🥰🥰🥰
2026-07-04 19:57:40
2
ivanbill25 :
At her age anajua hadi msiba🫡
2026-07-03 03:57:46
68
Vaileth Vanessa :
katoto kazur abujubujuu🥰🥰🥰
2026-07-04 19:41:10
13
hidayaah❤💞 :
eeeeh,jmaniiii, apo mwenyewe Yuko na vibe la umbea hatariii
2026-07-02 18:39:02
166
Wananzengo Events :
hongera mzee Kwa matuzo mazuri Kwa mdogo wangu mwenye ualbino 🥰
2026-07-03 09:52:51
42
Rehema Adam :
kazuri Mashaallah Allah amkuze mkwe wangu
2026-07-02 18:42:43
40
abuu sanda 🎮 :
She is so Intelligent 🧠
2026-07-03 04:35:23
15
julieth🥰 :
mrembo sana ,ila hii akili yangu kabisa 😂😂
2026-07-04 14:47:15
6
mwana rujainah🥰 :
😂😂😂 udugu wangu unachamba umbea sana
sema nimekupenda sana
2026-07-02 19:35:20
27
Zullybae💫 :
mbona kazuri hivi jomon 🥰🥰🥰
2026-07-03 11:10:54
7
🦋keybzy🦋 :
yuko healthy mashaalah
2026-07-03 23:34:33
1
Sheila 🇧🇮❤️ :
ma nsha allah
kabinti ketu kazuri Allah akulinde ❤️
2026-07-02 22:26:49
5
florankala :
Kheeeee shahidi tunae
kazuri🥰🥰🥰🥰
2026-07-03 19:43:16
2
ganzel :
Mbona ana story hamezj mate😅🙌🏾
2026-07-03 18:32:36
2
MARRY ANTHONY :
Mzuri mnooooooooo🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-03 19:57:17
2
halima daudi :
anajielezea vizuli kanishinda mpaka mimi
2026-07-03 08:38:48
7
Leocadia :
Kambea kenyewe hadi raha 😂🥰🥰🥰knataarifa zote za kwa bibi Mie🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-03 07:02:43
10
fety five🍏☘️ :
yaan uyo anakili sana mpende sana na umsomeshe sana
2026-07-03 04:31:47
48
𝕀𝕞𝕣𝕪𝕟🤑 :
kaongo hakoo..😅😅..ila nimekapenda bhna nd kanaitwa P 🥰
2026-07-03 19:40:15
9
❤️🔥💋 :
kanajua hadi msiba😁
2026-07-03 18:34:14
5
user9169886061945 :
katoto kazur mashallah kanapenda kuongea hadi kinaongopa 😆
2026-07-02 18:35:36
45
Nabila accessories :
nipe mm huyu mtoto mashallah nimempenda💓
2026-07-03 20:10:10
7
To see more videos from user @princess_reyyan1, please go to the Tikwm
homepage.