@shoshhack1: Watu wengi wanamwaga hii maji kila siku bila kujua… wanapoteza kitu muhimu sana 😭 Maji ya kuchemsha mayai yana calcium inayosaidia mimea ikue haraka na kuwa na afya 🌱🔥 Kuanzia leo usiyamwage tena… jaribu uone tofauti mwenyewe 👀 💬 Ulishawahi kujua hii? #LifeHack #ShoshTips #HomeHacks #ViralVideo #NaturalTips
Jamani 😅 msimwagie mimea maji ya mayai ikiwa bado moto… hiyo sio supu ya mimea mtaiunguza kabisa 🌱🔥
Na pia sikumaanisha maji ya mayai ya aina yoyote tu… ni yale maji ya kuchemsha mayai plain (hakuna chumvi, hakuna viungo) 🥚
Acha yapoe kwanza kabisa, kisha ndio umwagie mimea polepole… hapo ndio yanakuwa na faida yake vizuri 💚
2026-07-02 14:54:31
4
Edith Kiambi :
Thanks mama
2026-07-03 08:39:55
1
lucykadogo952 :
unamwagia yakiwa moto
2026-07-02 14:40:40
1
To see more videos from user @shoshhack1, please go to the Tikwm
homepage.