tusaidie na kutuambia kuwa kwanini hatuna hamu ya mapenzi lkn tunapenda kuwaona watu wakipendana tunaenjoy
2026-07-02 20:24:25
65
iam_Ammy :
This is me nilishawai kwenda kwenye interview wale wenzangu walijua mm ndio nawafanyia interview 😂😂😂
2026-07-02 20:56:48
104
Najmah💫 :
kwaiyo Hela tunatoa wapi😩😩😩
2026-07-03 10:59:24
18
Mr kaicy....or mr vision :
ni kwel...hiyo hali ndio naipitia
2026-08-16 16:53:59
1
_.Momor😂🧸💕 :
😂😂😂ndo maaaana nimeacha kazi leo😭😂😂
2026-07-03 16:45:58
13
Ally Juma :
[Sticker] nakupenda bure
2026-07-02 14:21:58
10
Ms:JM🥰 :
Facts,but sijui Ata nalia nini
2026-07-02 14:17:58
11
PETER PACKERS :
hivi nikuulize swali mbona mimi kila ninachotamani nakipata lakini inategemea na jambo ninalotamani hata ikichelewa hua napata sasa najiuliza mimi ninani naomba nisaidie
2026-07-02 19:57:02
19
ceciekindole🌺🇹🇿 :
yani ni mimi kabisa nimefanya kazi naacha mpaka nimefungua biashara yangu 🙏
2026-07-03 15:12:09
21
Daudi~ official :
Wewe dada umetumwa na aliyekutuma namjua Asante.
2026-07-22 09:14:00
12
Susan gee15 :
mimi ikienda sana ni 3months🤣🤣
2026-07-03 05:56:29
10
Hammy jr :
dah mm sikumoja nilipoona mambo magumu nikaanza kupambana mwenyewe aisee namshukuru mungu nahisi ajira ya kuajiliwa ningechelewa.
2026-07-05 06:07:05
9
alpha.KAGOMA :
ansante kwa somo ila Unazunguka sana Punguza repetition
2026-07-04 17:03:49
10
salbanks03 :
na wanaojua hili wanapenda sana kutusaidia na mipesa ya bure then boom they're blessed🤗☺️💞
2026-07-04 13:07:59
6
Lady Halima :
Mungu anifikishe kwenye wakati wangu
2026-07-03 21:42:40
6
Hiro nakamura :
Ningeiona hii miaka miwili iliyopita sasa hivi ningekuwa mbali.....Ahsante madam
2026-07-03 20:38:41
9
febi :
nimeheel sasa mummy🥰🥰🥰 nilikuaa nadhani ni madhabahu
2026-07-03 09:31:20
10
Martha W ᥫ᭡.ִֶָ𓂃 :
Asante kwa kuongea na Mimi mapema dada 😩🙏
2026-07-03 17:12:43
5
witness kindole1 :
safarii hii nimejitahidi nimekas miaka 6 lkn bado naona kiza tuu
2026-07-23 16:33:03
1
anaya tz anaya :
so choosen asifanye kazi atakulaje ataishije
2026-07-31 14:12:53
1
user7635685562512 :
Acha tu nipite sababu haya ndio mapito ninayopitia
2026-08-14 21:39:40
1
Ramadhan Masud :
nashukuru niko kijana Kuna mtu aliniambia fanya biashara sio ajira yule mtu 🙏🙏
2026-08-04 10:43:03
1
Mr_heart :
Ngoja nikupe stori kidogo shangazi yangu, mimi hapa nilipopanga juzi jumamosi niliamka asubuhi kuna kazi nilienda kuifanya, japo sio kawaida yangu kuamka muda huo asubuhi sana, basi nikaenda kuifanya iyo kazi baada ya kumaliza nikasema nirudi kupumzika, baadae nitarudi mjini, iyo yote kwa sababu sijaajiliwa, basi nilivyorudi kupumzika nikiwa nimelala huku sijalala yani nikiwa kati ya usingizi na kama kuwa macho, mlango wa ndani kwangu nilikuwa nimeufunga lakini nikaona kama mtu kaingia chumbani kwangu alafu pale nilipolala akaja akaniwekea mkono, nilipojaribu kupiga kelele nikamuana ananiachilia anafungua mlango anatoka, sihisi ile kama ndoto shangazi akili yangu inaniambia kweli
2026-08-16 19:22:08
1
👑 Queen 👸💋 :
Mi napigwa vita jaman hadi nasema Mungu kwani hanioni 🤗 na hii kuota pesa nyingi Sana kipenz imeakaaje alafu na nikiota ndoto inakua kweli na nikimuhisi Mtu vibaya inakua kweli
2026-08-17 09:48:38
1
Sparrow :
Mimi huwaga najiuliza iv kwann watu wengi wanafanikiwa kupitia mimi lakini mimi aaah! Na nawasaidia kufanikisha mambo yao lakini yangu yanapinda
2026-08-04 04:41:04
1
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.