@mkilaluphotographer: ✅KWA MAHITAJI YA & STILL PICTURE #*: 0796 817 876 Dsm tz🇹🇿👏🏻

MK photography
MK photography
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 14:16:28 GMT
243290
9947
451
299

Music

Download

Comments

agneslaiton5
Aggy❤️ :
yaan kama huna mama siku kama hii ni mateso sana😭 hauwezi muelewa kama hujapitia🥲
2026-07-03 03:06:02
382
fatmajapho
beauty_fetty🥰🥰 :
Mungu aniwekee mama yangu ❤️
2026-07-02 17:56:24
373
mrssaid57
mrssaid :
pole dd
2026-07-03 09:15:26
1
ahmababe
ramcee 🌹🌹🦋🦋 :
Tulio wazika mama zetu ndio tunajua uchungu wa hii nyimbo wallah 😭😭
2026-07-03 10:57:30
133
user2660016520258
Neema Mwanga :
yaani hiyo siku nitalia mpaka dj atazima mziki walah maana sina baba wala mama😭😭😭😭
2026-07-03 08:37:06
171
zuuh17
official zuuh💕 :
Sasa Dj si angebadilisha nyimbo jaman🥲angeweka hata nyimbo ya malume🤭
2026-07-02 19:23:47
326
gradnessemillianm
✨I'M_GEE🔐 :
mungu nakuomba nilindie mama angu😢🥰
2026-07-03 13:25:42
56
cinnamonblist
🦋MIRSALA🦋 :
Mna uhakika dj sio ex wa huyu dada🥺
2026-07-02 21:02:27
194
12twiga
D ANACOND🐍 :
maumivu kupoteza mama inauma jmn😭😭
2026-07-02 18:14:06
142
_sarah_og
🦋De_sarah_og🦋 :
Allah atueke wazazi wetuh 🤲
2026-07-03 11:14:19
25
salhasalha1514
mlela salha :
tuliokimbilia comment gonga like
2026-07-03 08:30:18
8
user3151454949792
saby :
tusio kuwa na mama tunateseka siku ka hii mungu atusaidie kwakwel
2026-07-02 21:38:36
39
user8206165046622
Mryrshd@🥰 :
MUNGU wajalie wa mama wote maisha marefu duniani🤲🙏😭
2026-07-03 13:31:27
17
officialdeko1
official Deko :
mungu nilindie mama yangu
2026-07-03 07:25:52
30
officialphion
officialphiona💖 :
allah nilindie mama angu❤️
2026-07-03 09:51:25
7
hawaaali955
Hawaa :
be strong
2026-07-02 21:30:30
2
user5799272328576
it's stella❤ :
pole dear
2026-07-03 14:12:02
0
lidya.keneth
Lidya Keneth :
pole San
2026-07-03 10:23:13
1
ms.nana595
MADAM 🦋NANA❤️🎀 :
Mung nilindie mama angu❤️🫂
2026-07-03 11:22:00
9
halimaathumani149
Halima Athumani :
Allah nilindie mama angu ajekuona harusi yqngu ila dada pole sana 🥲🥲
2026-07-03 08:35:36
18
halma.hatun
Halma Hatun🩸 :
Tena Sana tuu Mimi nasubili siku ya harusi yngu Yani nitalia San nitalia mimi dah☺️
2026-07-02 19:02:36
67
mariamyusuph5190
Mariam Yusuph5190 :
Allah Nakuomba mpe maisha marefu wazazi wangu kwani mimi sitoshi bila wao Inshallah nawapenda kwaajili ya Allah 🤲
2026-07-03 07:47:57
15
user8173705675227
Mars sk :
mungu awapokee wamama wote walotangulia mm nililia mpk niliumwa na kulazwa kabisa☺️
2026-07-03 04:48:17
10
ms._.vee1
Ms._.vee :
Au nguo ilimbana 🥺
2026-07-03 06:24:39
34
To see more videos from user @mkilaluphotographer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About