@samol.automotives: MATUMIZI MAZURI YA UKANYAGAJI WA CLUTCH KWA DEREVA NDIO UTUNZA CLUTCH PLATE YAKO. ✅ MALORI BORA ✅ VIPURI BORA ✅ GHARAMA NAFUU 📍: TUNAPATIKANA TABATA MATUMBI, NELSON MANDELA ROAD, DAR ES SALAAM. 📞TUPIGIE SIMU : +255 752 600 700 🚛''SAMOL AUTOMOTIVES TIBA YA GARI YAKO'' #trendingreelsvideo #highlights #challenge #viralvideotiktok #fyppp

Samol Automotives
Samol Automotives
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 14:19:22 GMT
46214
2955
38
50

Music

Download

Comments

wakzoomtz55
wakzoom 55 :
2026-07-03 14:28:37
5
mapezolwe
Mape Zolwe :
kwa dereva ni asilimia chache sanaa
2026-07-03 05:32:28
4
lucaskisungu
Lucas mechanic :
clutch plait inatakikana ikae miaka 7/8
2026-07-08 00:06:56
0
jacobcryspin
𝕄̲̲ℙ̲ 𝕁̲̲ℂ̲̲𝔹̲🇹🇿🚣⚽🛠️ :
Siyo umakini ni ufahamu/elimu.!
2026-07-03 01:58:34
3
elatrush
Atrash Seif :
sahihi
2026-07-02 21:37:06
3
oswardmwakajilaos
oswardmwakajilaos :
SI kwer
2026-07-03 08:19:03
2
muddy.karim
Mohamedi Truck😎😎😎 :
duuuuuuuuuu🤔
2026-07-04 08:32:38
0
humas422
mamen hum🐕‍🦺🐕‍🦺🐕‍🦺🔥☠️ :
kweli mkuuu💯💯 umemaloliza
2026-07-03 12:31:23
2
valentinetomaseyi
Valentine tom Aseyi :
lakini kumbuka pia Kuna magari zingine hua zinakataa clutch plate empoo
2026-07-07 17:14:06
0
jafari.925
Jafari.925 :
vp kuhus Release bearing kuungua inasababishwa nann ?
2026-07-05 09:02:53
0
user2209997225530
Alex Oxlend :
ni kweli kabisa
2026-07-05 06:02:07
0
dogo.peter6
mtu Kaz 💪 :
duuuuuuuuuuuuu aseee ni mbayaa tyuu
2026-07-03 16:51:23
1
chamihery
RABO CLAN :
mje niwape darasa
2026-07-03 07:53:46
2
emanuelmselele
vms motor :
acheni kudanganya
2026-07-03 10:33:29
3
georgembaruku
gmr :
hakuwezi kutokea moto kulingana na matilio yaliyo tengenezea pet clutch
2026-07-03 06:26:13
3
user2444081065066
user2444081065066 :
asirimia kubwa dereva ndio anaweza kuunguza clutch maana muda mwingi anakuwa haachii penda ya clutch ndio inasababisha kuunguza
2026-07-03 06:49:42
3
winner.wilfed
Winner Wilfed :
na klachi ikifa unatakiwa ufatilie kwa unfani sana atasili ya Ken shafi ikivuja oil inauwa klachi plet
2026-07-03 07:27:03
2
joshua.molee
familiar :
uyu kaka kaongea ukweli
2026-07-03 09:59:33
1
user8810595416529
said safi :
clutchplate inategemeana na ubora clutchplate ya lakimbili80 uwezi kuilinganisha na clutchplate ya laki8
2026-07-03 06:54:57
3
amani.japhety
Amani japhety :
asilimia kubwa ni dereva kwenye kubalansi mguu wakati wa kuachia ili gari ipate kuondoka
2026-07-03 15:09:47
2
mzee_wakanisa
sr71 blackbird :
wanaosema kufunga vibaya sikubaliani nao kwa asilimia nying. kwakuwa kama clutch plate ni ile yenye pande mbili, nikimaanisha flywheel side na upande wa presure. ukigeuza huingizi gia. ukisema labda hukukaza bolt, kama zimelegea zitakatwa. upande wa dereva kidogo ni asilimia nyingi kidogo ila kwa dereva alietoka kujifunza jana juzi. na hilo nikutokana na kutokutoa mguu kwenye clutch kingine master cylinder ikiwa mbovu. ukikanyaga inasukuma ila ukiachia inablock mafuta kurudi yote hivyo servo inabaki ikiwa imepush kidogo au sana. kingine ni gari unaipa mzigo mkubwa kuizidi. inakubali kwenda ila inakuwa nislip cha mwisho na kwa uchache ni ubora wa klach plate yenyewe. ila nikakumbuka hata wale mafundi wanaopakaga top shaft grease ili izame kiurahisi au upaka release bearing grease nyingi. ile grease akirukia kwenye clutch plate inai haribu.
2026-07-05 16:48:31
0
rashidmohamed6734
rashidi Mohamed :
sawa gari inaweza kuunguza plate clutch kulingana na mazingira na gear inayotumika au mwendeshaji mwenyewe kushindwa kusoma mazingira kuwa mzigo alopakia na mlima anayopanda gari itashindwa na ndio pale sasa clutch inapata changamoto. kuna utelezi pia gari kukwama ile kanyaga achia mpaka inaanza kutoa harufu hiyo ndizo njia ya clutch kwisha.au kubadili gear na hutoi mguu kwenye pedal ya clutch maana yake huenda unakanya robo bila kujua.
2026-07-09 17:10:41
0
mahenge255
emmanuel :
Kuna jamaa alitoa gari Dar-Tunduma km 950+ bila shida clutch Iko poa, ila waliopewa kazi yakuivusha gari toka parking Hadi border hapazidi km 5 waliunguza clutch
2026-07-11 10:39:05
0
felixveco
Felix_VECO :
Tatizo la cluch ni ubora wake,Makosa ya kiufundi wakat wa ufungaji na mtumiaji wa chombo pia anaweza kusababisha lakin hata utumia kwa usahihi vip mwisho wa siku lazima itaisha tu
2026-07-03 10:41:14
1
aries_21st_march
Aries 21st March. :
cluth plate inaweza kufa kwa mambo matatu ikiwa itafungwa vibaya au matumizi mabaya ya driver au ikiwa ni ni fake umenunua huko kwenye vibanda vya ajabu ajabu, lakini ukinunua bidhaa kwenye maduka yanayojulikana kuleta Spears original na kwa bei nafuu kama @Samol Automotives hapo lawama ibaki kwa fundi na dereva wake
2026-07-02 17:49:54
6
To see more videos from user @samol.automotives, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About