@thobyonlinetv: Tukio la kusikitisha limegeuka kuwa la kuchekesha nchini Nigeria katika jijila Lagos, baada ya kijana mmoja aliyedaiwa kuiba kiasi cha Naira 20,000, ambazo ni takriban shilingi 35,000 hadi 40,000 kwa fedha za Kitanzania, kupewa adhabu ya kipekee. baada ya kukamatwa kwa kosa hilo, kijana huyo alilazimishwa kucheza muziki kama sehemu ya adhabu yake mbele ya aina watu yake. #thobyolinetv

thobyonlinetv
thobyonlinetv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 15:01:30 GMT
1645
44
1
2

Music

Download

Comments

juneberrynwachukw
juneberry :
🤣🤣🤣
2026-07-02 15:52:07
0
To see more videos from user @thobyonlinetv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About