@wajanjaforum: Usaliti hauanzi siku mnapokamatwa, huanza pale unapofuta meseji na kuficha mawasiliano kwa makusudi. Ukianza kuogopa mwenza wako aone simu yako, tayari uaminifu umeanza kuvunjika. #Uaminifu #Usaliti #Mahusiano
Wajanjaforum.com
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 15:07:57 GMT
Music
Download
Comments
user6295363261433 :
nisaidie babu mume wangu arud naitwa ramadhan mikael
2026-07-05 06:46:50
0
Mahīnā Chānd :
kabxa
2026-07-06 19:18:50
0
vee🌺 amor___🫀🫶🔐 :
sio sms tuu kuna watu walikuwa wanajua kuwa ndugu yao ana mademu 10 ila wakafanya Siri wakasahu hii ni Dunia mambo yakaja kujulikana wakaumbuka😅😁🤣
2026-07-31 20:34:41
0
user7070908029704 :
kweli kabisa
2026-08-20 17:51:13
0
la vie riziki :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-02 20:18:12
1
Jet :
🥰
2026-07-03 19:10:56
0
florance :
🥰🥰🥰
2026-07-02 21:39:11
1
user8659045512207 :
🥰🥰🥰
2026-07-12 08:37:38
0
To see more videos from user @wajanjaforum, please go to the Tikwm
homepage.