@spadex.1906: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬

Spadex 1906
Spadex 1906
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 15:25:09 GMT
452081
35227
314
2999

Music

Download

Comments

itsjokha
rajnah🥀 :
jaman mungu nae pia anasamehe sisi ni nani mpaka tusisameheane jaman🥹🥹🥹🥹
2026-07-03 16:07:22
112
yusra.shekibua
Yusra Shekibua :
nasamehe kwaajili ya kesho yangu baada ya muda mfupi yote yata sahaulika na mola wangu atanilipa ujira wa subra yangu
2026-07-03 10:42:06
111
kurwasaidimkwabi
aisha saidy :
mimi huwa nasemehe tu,,, kwasababu hata mungu tunamkosea sana lakini anatusamehe
2026-07-03 18:21:30
29
amina.kilama
🦋Emmy💞💙 :
hakika siwez kbc inauma mnoo 😭😭
2026-07-03 09:15:19
14
madina_collection0
Madina collection :
vip wewe mungu akigoma kukusamehe maana tunamadhaifu mengi mno kwa mola wetu
2026-07-04 08:40:24
9
siama.nyari
Siama Nyari :
sitamani hata kuwaona sio msamaha tu
2026-07-03 17:24:35
5
ilonation53
Ilonation53 :
Usiposamehe unabaki na maumivu zaidi samehe ila usimuamini tena
2026-07-10 15:01:12
2
proudlythirdborn
Muna🇸🇴🇰🇪 :
"Lzm nisamehe ili Mwenyezi Mungu anisamehe Na mm pia" lkn siwezi kusahau maumivu aliyonipa
2026-07-03 07:27:56
26
kasipul_kabondo0
@Ja-Got Kuber :
Akhy hiyo nasaha inakhaalif maamrisho ya Allah alipisema katika Quran {الّذِينَيُنْفِقُونَفِي السّرّاءِ وَالضّرّاءِ وَالْكَاظِمِينَالْغَيْظَوَالْعَافِينَعَنِ النّاسِ ۗ وَاللّهُيُحِبّالْمُحْسِنِينَ
2026-07-05 11:48:59
1
independentwoman0303
UmmuAbdullahi💞👑🇸🇴🇰🇪🇳🇱 :
me siezi msamehea kamwe🥺🥺
2026-07-05 17:51:23
1
tillionnana
Tillion nana :
Mungu ana tusamehe madhambi makubwa makubwa ya siri na dhahir Mie Nani nisisamehe
2026-07-05 08:53:51
6
yusraucherhassan8
yusraty :
hii imetoka wapi mbona hatuyajui hayo
2026-07-04 19:35:28
0
user68143614998222
mwanaid :
Naweza msamehe maan ata mimi pia mung namkosea sana tu n ananisamehe je mimi binaadam kwel nishindwe kumsamehe
2026-07-06 05:09:37
4
user8155300629731m
user8155300629731mwanajuma :
kweli kabisa
2026-07-03 09:08:24
1
user68121119217790
user68121119217790 :
mimi nasamehe ila sitaki tena ukaribu nae
2026-07-06 16:41:36
1
marycious.bolingo
marycious bolingo :
allah katufundisha kusamehe il tusahau
2026-07-06 14:19:06
3
suzanahumphrey
Suzan Humphrey :
kama Mungu anasamehe mimi nani nisisamehe nasamehe nakuachilia hili baraka zangu Mungu anipe hila sio kwamba nitakuwa nae karibu sana nitakaa nae mbali nikijua sio mtu mzur kwangu
2026-07-03 15:58:29
5
zuwena1914
Zuwena$ :
Tusamehe tu hata Mwenyenzi Mungu atatusamehe😭😭🙏🙏🙏
2026-07-04 07:41:38
3
bibi.bempa
Bibi Bempa :
hii sasa ndo sahii kabisa...habari ya samehe mara sabini hapana
2026-07-04 08:56:18
3
mamakefatuma
Rahima Mohamed :
mbona mungu anasamehe
2026-07-03 19:06:13
2
lihna.adrian
Lihna Adrian :
barikiwa
2026-07-03 14:55:57
1
user9618474377969
sauda Agarwal :
Ata Mungu ana sameh me nani
2026-07-03 10:38:14
4
user1918263492854
neylicious :
thnkx broo
2026-07-03 13:54:20
1
raynmalika
P mchina :
Basi naww Allah asikusamehe kwa yale uliyomkosea maana sio malaika ww
2026-07-04 02:11:35
2
mama.wamwanangu
love ❤️ 😍 :
hakika siwezi kusamehe jamani mpaka siku ya mwesho
2026-07-03 17:51:40
3
To see more videos from user @spadex.1906, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About