Na usiondoke I wish to see u tuko na Tamasha la praise and worship feel like tuimbe pamoja
2026-07-14 13:38:23
2
so twin🥰 :
You deserve broh joshua😍🥰🥰
2026-07-14 07:06:01
0
Linnah Zuakuu :
we love you brother ❤️
2026-07-14 08:09:48
0
Esta mwele :
pend san
2026-07-14 12:14:52
0
Lulu Bushiri :
I love u
2026-07-13 20:30:11
0
ELISH ACCOMPA & LIGALA ACOUST :
be blessed
2026-07-14 09:47:10
0
its.reenwilly :
Wanao sema guli anajua like apa
2026-07-02 15:32:39
148
Hailathi Choro :
msaniii wangu ninae jua katokea wapi
2026-07-12 19:28:04
22
lyraty msusi 🥰❤️ :
Bss hawatag watu waimbe Gospel
2026-07-14 08:31:38
9
Blessed Happy♐ :
ulivyotolewa nililia sanaa kusema ukweli ata sikuwa na hamu ya kuangalia tena Bss,ila najua unajua kuimba na Mungu atakuinua kwa namna nyingine🙏
2026-07-13 11:34:04
21
💦careen🌬 :
umejua kuniliza broh 🥺
2026-07-13 18:19:28
7
rebyjamy :
kak nilala saa 10 kwaajil yk🔥
2026-07-15 11:13:46
1
lady_M95 :
Joshua nmeumia sana jana
2026-07-12 08:20:18
8
Aliyah saloon $ collection :
unaweza sana hamia TZ Jaman tuendelee kupata burudani za Gospel kupitia sauti yako
2026-07-14 09:09:59
3
Queen precious :
hakikaa leo guli umenifanya nitoe machozi nikataman kungekua na muimba gosp mmoja awakilishe kama jadge kama coy kwenye comed ila yote ya yotee mungu ni mwema mana tumepata kukujua mungu awagushe kina joel lwaga paul clement godlack na wengine waone hiki kipaji cha kaka yetu jiran yetu kutoka congo ameeen🥰🥰🥰
2026-07-12 02:32:16
22
MISS BOSS :
unampenda mungu hadi raha
2026-07-13 19:24:21
2
angelcute 🥰 :
Joshua ❤️sana niliumia saana ulipo tolewa ila 2najuwa unawwza saaan mungu akutangulie kila hatuwa
2026-07-14 20:24:47
1
Mwanaidi Mohamed :
usjaliiii mungu yupamojaaa naeee Kaka anguuuu😅
2026-07-14 18:29:11
1
ness@rosie :
Unaimbaga nyimbo ambazo ni hisia ndani ya moyo wangu 😭😭
2026-07-03 10:57:15
8
Gwamy Allen :
kwangu wewe ni mshindi wa BSS 2026 ila Mungu amekupa kuwa Worshiper 🙏🙏 nakuona ukitumika kwa Madhabahu halisi ya kuabudu....... ishike njia yake
2026-07-14 22:35:41
2
Win Shay da Mond :
Kaka Joshua naomba urudi BSS round nyingine ata Kama sio kwajili ya ushindi kwajili ya uwepo wako tyu mm napenda unavyoimba gospel live👌😍🙌
2026-07-14 23:14:08
0
Love :
Leo nakusubilia
2026-07-11 06:33:27
2
Marina07 :
utafika mbali sanaa kipaji unacho
2026-07-13 09:49:11
2
Saimon Adam :
utafika mbali sn
2026-07-12 17:10:49
1
Helenah Ng ❤️ :
J’aime quand il prestes ❤️que Dieu te garde pour sa nation broh
2026-07-04 23:11:17
1
To see more videos from user @joshuagullymusic1, please go to the Tikwm
homepage.