@iremtv: Hii ni sehemu ya mahojiano niliyofanya na mfanyabiashara Bravo kuhusu safari yake ya maisha na biashara kwa ujumla. Ameeleza “niliwahi kuingiza bilioni 90 FOREX” Soon utayapata mahojiano haya kamili kupitia YouTube.

iremtv
iremtv
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 16:02:37 GMT
38104
1263
84
105

Music

Download

Comments

sir._adonis
Adonis Minga📈 :
forex wapo wengi sema wamejificha
2026-07-03 00:28:03
14
machinga_fx
Machinga_FX.. :
forex trading....
2026-07-03 09:41:29
0
ghislainkisughumogmail
GHISLAIN KISUGHUMO :
ongelea trading kwa ujumla sio forex tuu
2026-07-03 06:06:51
1
dully.brown51
Dully Brown :
dollar ngapi 😆milioni 36 dollar😂
2026-07-03 07:17:37
0
frackchikawe
Chikawe Jr :
Forex ni nini?
2026-07-03 08:11:59
0
cargo_192
Cargo scenes 🎬🍿 :
motivation Speaker 😂
2026-07-03 08:54:40
0
breezy_tz1
Breezy_Tz :
huo n uongo bhn 36m usd ni sawa na 95b za tz😁😁😁😁
2026-07-03 08:42:33
1
nck231_
Ja Rule :
Alafu mtu akisikia billion 90 anapagawa lakini iweke kwenye Dollar ndo utajua ni ndogo sana 🙂
2026-07-03 06:55:54
0
irene.wilybroad
Irene Wilybroad :
Ziko wap saaaaa
2026-07-02 16:59:24
1
stivekim5
stivekim518 :
forex ni byashara nzuri nzuri sana
2026-07-03 09:08:22
0
denismoshi.pyc
memoo.py :
dola milioni 36 ni bilioni zaidi ya 80 za kitanzania
2026-07-03 06:01:14
2
ramadhanali010
ayoun :
Ameangalia kushoto jicho lake
2026-07-03 08:30:29
0
alfarashirdikovic
Dikovic master :
tusio elewa makofi
2026-07-03 08:10:28
0
rickrapha_crypto
Rapha Tz :
A+setup
2026-07-03 08:08:45
0
ronyaboy775
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸
2026-07-03 07:57:14
0
mohamedally4122
Mohamed Ally :
forex ndo nnnn???????
2026-07-03 06:24:20
0
akilimarket
akilimarket :
2026-07-03 07:32:51
0
bk16204
Bk16 :
2026-07-03 06:45:21
0
chid_410
chid 410 :
We nae mwehu
2026-07-03 08:11:58
0
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
firex inapesa sana
2026-07-03 08:59:44
0
user887124734467
user887124734467 :
saiv una nini
2026-07-03 06:55:32
0
360motorscarhire1
360 motors :
2026-07-02 23:34:54
0
To see more videos from user @iremtv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About