akitoka apo anaenda kuomba kazi kwenye office ya watu akinyimwa anasema Wana roho mbaya.. mara hamna kazi.... Guys tuogope mitandao inatunza kumbukumbu ambazo zinaweza kutucost mbeleni
2026-07-24 08:26:46
169
🙏🙏 :
ila sio sifa endesheni mambo kisomi bhana
2026-07-07 17:00:40
55
🌹 🎀 𝒮𝒫𝒜𝑅𝒦𝐼𝐸 🎀🌹 :
Asa kucheza na kazi kuna uhusiano gani
2026-07-24 19:20:44
49
mtares juice point :
bora ni institute maana ingekuwa chuo ingeabisha Taifa😂
2026-07-22 13:52:04
32
it's dee💞🥰 :
Nataman ningesoma TIA tu ifm kumepoaaa😂😂😂
2026-07-23 22:29:49
19
bright flower :
sherehe ya nn tena
2026-07-06 18:17:04
20
B🎀R🎀Y🎀N🎀A🎀H :
hii ilinikosa ila ya mwakan inshaallah ntakuwep 😅
2026-07-04 13:26:23
21
Bii mzurrii❤️💋🐆 :
Ukija wakishua unaondok mswahili tiiiiii😂😂😂
2026-07-17 23:28:51
8
𝐏𝐀𝐏𝐘_𝐋𝐎𝐍 🍂🥷 :
chuo cha mbagala 😂
2026-07-25 13:32:48
2
Latrix_19⛎ :
Apa ndo tuna prove hiki Chuo ni vibe tu😁😁😁
2026-07-06 08:33:52
10
🦋 Aiem@misschoclate🥰🥰💕🎉 :
jamaan chuo changu nakipendaa veeep🥰
2026-07-06 09:22:10
17
Jordan :
apo namuangalia dem wangu kama nae yupo 😂😂
2026-07-31 20:44:36
1
chocolateBelle✅ :
ndo maana kipo mbagala duuh 😂
2026-07-24 12:33:21
6
officially reen :
aibu utaona ww😂😂😂
2026-07-24 16:06:28
3
cbrles @12 :
owaaa Tia sijutiii kuichaguaa
2026-07-21 18:56:15
9
Ms Zee🌼 :
😂🤣🤣😂jmn wenzetu mumezid kaaa
2026-07-29 15:34:19
2
Hafidh Massana :
mdogoangu nmekuona😳 kumbe iko ndo ulichofata chuo
2026-07-26 05:14:18
3
Mamjaynah💖💖💖 :
alopanda juu ya Meza ana vibe htr
2026-07-06 17:15:19
5
keih Mwanah@1 :
12/12
2026-07-09 11:50:05
1
David Mkinda :
TIA ya wapi hii
2026-07-07 07:56:24
2
princeson :
aibu si nikaona mmm hamuez amini🤣
2026-07-25 11:11:22
1
Michael A Tz :
ukiskia ukifika chuo utajionea mengi ndo TIA
2026-07-25 00:46:06
3
Happyfantacy :
aibu utaona ww
2026-07-02 16:10:14
3
yk.zulekha._ :
Namuonaa zulekhaa😂😂😭
2026-07-14 15:20:46
3
canaly 05 :
wamesahau saap
2026-07-25 08:05:43
1
To see more videos from user @missvibe03, please go to the Tikwm
homepage.