@djaus_djwakusini: MZEE SAIDI AENDA KUMUONA PACOME HOSPITALI#pacomeinjur

Rdj_aus
Rdj_aus
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 16:17:21 GMT
132719
12870
329
301

Music

Download

Comments

user4953028482130
papa mayeko :
uyu mzee nimzee mwenye upendo sana
2026-07-02 17:06:54
344
gpcollection5
mulima gemina :
Mzee Saudi wewe Mungu azidi kukuweka tupate raha 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🫶🫶🫶🫶🫶
2026-07-02 17:24:14
114
user1778054151608
ajibu100 kitengo :
very nice
2026-07-02 19:53:20
1
estadominick
Esta Dominick😘❤️ :
Kumbee pacome anajuaa kiswahilii jamani wow 👌 🥰🥰🥰
2026-07-02 17:42:26
64
user8260963910298
user8260963910298 keagan :
mungu akubariki mzee
2026-07-02 17:14:54
36
chileu14
Nakowe66@cars🚘🚘🚘 :
hiyo Sasa ndio football..safi sana mzee
2026-07-02 17:45:01
39
benny.godlove
Benny Godlove :
huo ndo mpilaa mzee hana bayaaa🥰🥰🥰🥰
2026-07-02 17:45:35
37
wemasanga155
Wema Sanga :
mungu akuzidishie hekima zaidi mzee saidi
2026-07-02 16:51:52
20
user65951273217561
tele kalinga nachombwe💃💃 :
mzee nampenda sana jamn hana unafiki ana roho ya upendo
2026-07-02 19:45:10
16
roseemmy86
@rosemary emmy 💫✨ :
Mzee watu Ana upendo Sana Mungu akubariki na pacome wetu Mungu amponye haraka
2026-07-02 18:34:13
14
saumugombe
Saumu Gombe :
mzee said nimwema sana
2026-07-02 17:00:10
5
salma.charles06
Salma Charles :
mzee saidi yupo vzuri
2026-07-02 16:55:40
8
barick.bureta
Barick Bureta :
nimefurah San Mzee said kwa upendo wako Mzee unajua mpira san
2026-07-02 17:42:38
17
user61726127810223
MR FAIDHA MAZOEA :
safi sana mzee saidi uwo ndo upendo
2026-07-02 17:51:19
6
bensonmtweve0
benson :
One like for simba fans love
2026-07-02 17:39:07
2
abbassaid17
abbassaid17 :
mpira siyo uadui hongera Mzee side
2026-07-02 17:29:04
6
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
hiii ndio maana halisi ya mchezo ni urafiki sio vita🥰🥰🥰
2026-07-02 18:22:05
5
user7926141923683z
z mapenzi :
you will be fine never worry
2026-07-02 17:22:23
2
anitha1877
Anitha :
mzee anaupendo sana
2026-07-02 17:00:50
27
user4233377611123
user4233377611123 :
wewe babu mungu akubariki sana aendelee kukupa moyo huo huo wa upendo
2026-07-02 17:17:31
6
mashaka.samsoni.12
mashaka samsoni 124@ :
mzee saidi saluti sana kwa upendo wako🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
2026-07-02 17:25:53
5
chiefwilliam7
chief :
pole sana brother mungu akuone up one
2026-07-02 19:54:09
0
racing.90
Racing 90 :
hongela cna mzee wangu mungu akupe maisha malefu
2026-07-02 20:00:44
1
lucasjohn231
official azzy :
this is football brother mungu akutangulie Mzee wangu
2026-07-02 19:53:27
1
To see more videos from user @djaus_djwakusini, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About