@bongofive: Kupitia Podcast ya #B4TheFame msanii @vanillahmusic akizungumza na @el_mando_tz amepinga kauli ya @officialalikiba kuwa hakuna mwenye Mkataba kwenye Lebo yake ya Kings Music. Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongofive