peter crouch teka refu jamaa alianzaga spurs badae akatamba sana na liver mamae jamaa alkuwa mrefu Kuna kipindi Tottenham walkujaga Africa wakacheza na kaizer jamaa alikiwasha sana
2026-07-02 20:29:52
3
Abdul anwar :
ipigwe kona kudadadeki yaani ni chuma kipindi yupo Liverpool noma sana
2026-07-03 16:22:55
2
Pan_pete_ :
wajina
2026-07-02 19:52:41
1
Herry Titus :
ngongoti
2026-07-03 08:17:24
1
Don Suprano :
namkumbuka akiwa na Stoke city chini ya kocha Tony Pulis
2026-07-04 06:20:05
1
Don Suprano :
kaka niletee moja ya fundi wa mpira Matt le tessier ...legend wa Southampton.
Mpaka leo sijawahi kuona kiungo bora pale Uingereza kumshinda Matt le tessier...aligoma kwenda kuchezea timu kubwa kwa mapenzi yake ya club ya southampton
2026-07-04 06:23:10
1
it's_yflon :
ntaongea na konami tufanye kitu
2026-07-03 18:42:38
1
Macha Benjamin :
streker mbuni
2026-07-04 08:47:59
0
savoo :
Kibabage je
2026-07-04 08:28:27
1
To see more videos from user @ambo.el.capitanol, please go to the Tikwm
homepage.