@islamic_rihla: Huenda watu wakakukumbusha makosa yako ya zamani, lakini Allah Huangalia toba yako ya kweli. Usirudi nyuma kwa sababu ya maneno ya watu; endelea kumrudia Mola wako kwa ikhlasi. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH JAMALUDIN OSMAN 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha, maneno ya hekima na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US