@irene_keza: As a girl ishi maisha yako kwa hekima. Fanya kazi kwa bidii. Mruhusu Yesu akae ndani yako na akuongoze katika kila hatua. Jitunze. Jilinde. Jipende. Usijichukulie poa kwa sababu wewe ni wa thamani sana. Ndoa ni neema na neema tumepewa bure. Usijali kuhusu muda wako. Wakati wa Mungu ni mkamilifu na ukifika siku yako tutafurahi na kusherehekea pamoja. Endelea kung’aa. Endelea kuamini. Endelea kuwa wewe. You are loved girl. 🤍 #sisindiowaletunaosaidiwanabwana #viral #70days #gospel #fyp

Irene❣️🦋
Irene❣️🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 18:02:04 GMT
40735
4367
147
313

Music

Download

Comments

rosejames8395
Rose James :
mimi nitaolewa Baba
2026-07-03 06:09:59
44
getrudanjau381
maurine dear :
mimi ntaolewa kwa jina la yesu
2026-07-03 17:43:53
15
neema9257
neema :
by the grace of god nitaolewa amen
2026-07-04 07:38:58
0
bintidalali
bintidalali :
Nitaolewa kwa jina la yesu
2026-07-03 19:08:00
10
sharoncletus_91
MsKessySharon :
Maana halisi kati ya wale waliochaguliwa na mimi nipo ndo hii sasa🙏
2026-07-03 04:07:59
13
nelyce_07
Nelcey💫 :
Mimi nimo nitaolewa Kwa jina la yesu
2026-07-03 12:40:38
5
taby19771
Rebby🥰 :
Thanks love this made my night🥰
2026-07-04 18:00:57
0
dayana.israel
Dayana Israel :
ameen
2026-07-03 05:17:23
2
user2784403687585
Astar :
amen 🙏🙏🙏
2026-07-03 06:47:07
1
frolaismail355
Frola Ismail :
Amen 🙏 🙏
2026-07-03 06:54:11
1
mercy.mavumbo7
Mercy Mavumbo :
Amen 🙏
2026-07-03 07:37:43
1
lovenesskennedy1
Loveness Kennedy :
Amen🙏🙏
2026-07-03 08:08:19
1
usergracehaule
Grace Haule :
amèeen🙏
2026-07-03 12:15:36
1
reenyrich7
Golden Heart❤️ :
Amen@
2026-07-03 07:59:13
1
user9761537323625
Aretha ❤ :
Ameeen
2026-07-03 14:39:19
1
josephinanyamahan
Josephina Nyamahanga :
amina
2026-07-03 07:35:11
1
priscaizack
priscaizack :
Ameen🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-03 07:44:49
1
pascalia.julius
sister .P :
amina
2026-07-02 20:53:03
1
mou4896
mou 2013♓️ :
Amen
2026-07-03 05:27:37
1
kadadaa71
kadadaa 71 :
AMEN
2026-07-02 19:44:35
4
user6281472953662
Glory burton :
AMEEEEN🙏
2026-07-02 20:58:13
3
user7590838731136
Joyce Nana💕💕 :
Amen nitaolewa by the Grace of God
2026-07-03 17:01:25
2
user1612902331069
esther :
ameen 🙏
2026-07-02 18:44:21
1
rir2505
Rey house of beauty :
Ameen
2026-07-03 06:21:20
1
338goodness
WEMA :
Amen 🙏
2026-07-03 04:16:02
1
To see more videos from user @irene_keza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About