@kashinje.lupembe:

Kashinje Lupembe
Kashinje Lupembe
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 18:12:24 GMT
68526
3691
135
33

Music

Download

Comments

ashura06283
Ashura :
Uyu atakuwa babu mzaa mama maana uwa wanaupendo cna babu zetu
2026-07-03 06:49:22
55
revocatusmichael6
Revocatus Michael :
huyo Babu abarikiwe sana aendelee kuwa na upendo Kwa wajukuu
2026-07-03 05:38:16
33
robaharry0
robaharry :
this is what we call riches 🥰
2026-07-04 10:19:44
0
sulayzi
Sulayzi :
mfundishe huyo Mzee swala aswali ndugu yangu utakua umemsaidia Sana kwa allah
2026-07-03 16:25:12
2
ndohelemasalumaduka
ndohele masalu maduka :
safi sana hawa waze wanasaman sana hapa dunia
2026-07-03 02:44:44
16
veronica.donicam
Veronica Donicam :
jaman umefanya nitaman na me babu zangu wangekuwepo mungu azilaze maala pema pepon roho zao
2026-07-04 17:38:31
2
user300830704596
user300830704596 :
jamani hadi Raha nimeipenda🙏
2026-07-03 12:19:33
9
noa06022
noa :
🤝amina babu Mungu akutunze
2026-07-03 09:05:33
6
samwellutego
samwel lutego :
safi namependa
2026-07-04 11:08:36
1
mwenyewemkuu0
mluzi wambwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
daah nakumbuka kipindi babu yangu yupo hai daah mungu amlaze mahali pema babu yangu
2026-07-03 06:12:54
8
dr.malimi0
Dr malimi :
wap apo
2026-07-03 00:06:28
0
matanga113
matanga113 :
Wow mashallah
2026-07-03 12:44:11
0
lucasmanumba
Dr. Lucas Mayala Manumba :
safi sana ngalu ohbhabha alhisawa sana
2026-07-03 08:11:22
2
dominique0643250780
Mr Mukubwa Dominique ✅️⛽️ :
raha sana
2026-07-03 15:32:34
1
daynessdpaul
kelvinny_Fp.mubad :
namiss baba yangu jaman,,ila hyo babu nimjanja atar maana amekomea njian ili awahi kurud😁😁😁
2026-07-03 16:32:41
1
vitenge.tz
vitenge tz :
Babu gani ana mbio hivyo😆😆😆kijana bado mnooo😁😁
2026-07-03 19:20:27
1
rosemarymalunde23
💐Rose🌹 :
so great sana 🥰🥰🥰
2026-07-03 14:25:15
0
user2565771281847
Charles mahowa :
waoooo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-03 20:27:33
0
kipenz.cha.mungu7
kipenz cha mungu :
eeh mungu nisaidie na mm cku moja nikimbie na wajukuu wangu kama hivi
2026-07-03 18:03:33
1
wemayzkravv
wemayzkravv :
nimeipenda sanà
2026-07-04 12:19:04
0
angel62347
angel🐭🐰 :
nmemkumbuka babu jmn alikuwa na stori nyingi yule babu
2026-07-04 16:25:41
0
muttasim26
Muttasim 26 :
Mungu azidi kumpa nguvu na afya njema
2026-07-04 16:08:58
0
sunyamarwamkerech
Sunyamarwamkerecha Mkerecha :
♥️♥️mimi penda wewe babu
2026-07-04 14:26:06
0
user6034501935856
wahda :
nimetaman niwe mm jaman🥰🥰🥰
2026-07-04 13:54:33
0
kulwamatondo8
kulwamatondo8 :
Wooooh babu anaupendo wa kweliiiii
2026-07-04 15:22:25
0
To see more videos from user @kashinje.lupembe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About