@pastorleahndabila: kuishi na mtu akiwa nje ya moyo ni Bora kuliko kuachana

Pastor Leah Ndabila
Pastor Leah Ndabila
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 18:19:25 GMT
252292
16300
993
2563

Music

Download

Comments

agatha_imani
Agatha_Imani❤️ :
Ukiweza hii utaishi miaka mingi sana
2026-07-03 07:09:25
630
user812340950747
user812340950747 :
nilijuaga nakosea kuishi hivi kumbe niko sawa nashukuru mtumishi
2026-07-03 03:22:14
338
mama.keith61
Sue88 :
that my situation n its peaceful
2026-07-04 04:21:27
1
mariamgani475
Mam Francis :
nataman niweke status ila basi haiwezekan 🙏🙏
2026-07-03 05:45:10
233
polineakendo
polineakendo :
Too risk to repost 😂
2026-07-03 15:42:19
26
tiffah.92
tiffah @92 :
hiki kikao ni Cha wenye miaka 10+ ndo wanaelewa
2026-07-03 06:55:10
110
dayanamugizi
dayanamugizi :
Nahisi wanaoishi maisha ayo tukowengi sana,Asante kwa kutusemea.
2026-07-03 07:30:39
188
userpwettygartrude
Getrude Mdemu615 :
Kaaazi moja wanawake wenzangu
2026-07-03 04:45:18
58
madam8632
Leyla :
mimi ndo naishi hivo kwenye ndoa yang Yani naishi kwa amani na furah bila shida Yani nimemfanya kama jirani yangu tu
2026-07-03 11:04:46
93
dinasmn
Ds 🎀🫧 :
Ni rahisi ktk kuongea ila kiuhalisia🤗,sikia tu kwa mwenzio aiseee.Ni bora kuachana.🙌🏼
2026-07-03 21:47:46
17
user9308350299247
user9308350299247 :
kabisa dada hayo ndiyo maisha ya sasa
2026-07-02 20:24:23
54
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Dah sijaolewa ila mungu namuomba sana anikutanishe na mtu sahihi anipende nimpende Kama kuna upendo kila kitu kinawezekana 🥺nataka niwe mmoja wakusema ndoa ni nzuri Sio mbaya 🥹🙏mungu anisikie
2026-07-03 08:22:29
82
khanifa771
@khanifa77 :
ingia ndo unajua mapenzi kwenye ndoa huwa niyamwanzoni 2 binafic najuta
2026-07-03 12:30:57
6
nahay_
Nahai :
nilikua najua nakosea 😂😂kumbe niko sahihi, asante
2026-07-03 18:24:30
7
bellah25495
Bellah254 :
nmeshikika hii for the first time
2026-07-03 18:54:42
2
user4676723411081
Tabitha wanjiku :
detachment
2026-07-03 00:59:47
4
pepe67761
Pepe :
upo wapi mama wewe; you have spoken the point.Exactly🥰🥰
2026-07-03 10:12:13
2
glory_kyabona
Glory🦋🦋 :
Emotional detachment
2026-07-03 17:29:02
1
hamisashaban1
hamisashaban5 :
safi sanaaaa
2026-07-02 19:58:11
12
devothamosi
devotaamos473 :
nilijua nakosea kumbe niko sahii
2026-07-03 06:55:41
31
diana.collection8
Diana Collection tz :
Umenena mama asante wengi tunaishi hivyo kumbe hatukosei 😂😂😂😂
2026-07-03 04:59:42
27
aliera306
Aliera 💦💫❤️ :
😀😀😀hii pia unaweza tumia kama hana hela
2026-07-03 09:49:10
7
seche.kiluswa
Seche Kiluswa :
ni kweli kabisaaa
2026-07-02 20:04:42
7
mama.wa.tatu8
kimangila girl ❤️ :
mama yangu alinambia hcho kitu Nina amani sanaa
2026-07-03 04:40:10
5
jenipherthomas0
jenipherthomas878 :
sahihi
2026-07-02 20:02:10
5
To see more videos from user @pastorleahndabila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About