stor ilikuwa hivi jamaa aliendasehem ya mbali sana aliacha mke wake akiwa na mtoto mchanga Sana alikaa huko mda wa miaka 3 na aljdhhsjbdbidhbbdhiizhhklmbb ndo ilikuwa hivo hdhhjkIjbbbh asanteni Kwa jdhhvenjdkchbdb
2026-07-03 08:50:21
4
JAFARI BABAYU :
hongera bro maana umejizuia kulinda kesho yako nje yahapo utasikia kaua
2026-07-03 06:22:02
25
mbooo👀roo👀 mchugaaa 👀👀👀👀 :
one day
2026-07-03 08:41:47
1
noely :
broo umewaza mbali Sana
2026-07-03 07:50:02
10
Nillah B. :
wanaume tunapitia mambo mengi sana pole brother💔💔
2026-07-03 08:16:48
8
mashoo :
walayi mimi ninavyowapenda kaka zangu na baba yangu nickupate unaniumizia hivi ndugu yangu Mungu wetu sote
2026-07-03 09:03:38
1
samwelonyango222 :
mungu akupe zaidi na watakutafuta wenyewe
2026-07-03 08:53:32
4
munalulu :
pole sana mwamba umejizuia kinoma hongera ila yatapita2
2026-07-03 06:30:34
8
Abel William :
Mungu akubariki brother usijali
2026-07-03 08:58:46
2
daniel Mashishanga :
kaka nenda mbali na ndugu katafute pesa utakuwa namaisha mzuri sana
2026-07-03 09:07:14
2
Ja Rule :
Tafta hela
2026-07-03 08:58:08
1
mgwaneza ndushabandi :
mungu akubaliki ka Reng Rover🔥🔥
kako mwenyewe wa jutiee
2026-07-03 08:37:20
2
Machinist :
introvert au
2026-07-03 08:18:49
2
ETIENNE MOTOYA :
bravo mon cher congretuletion
2026-07-03 09:10:38
1
borax :
imagine angekua na pesa?????
2026-07-03 08:49:18
1
moussacamarra517 :
daaaaaaaa wanaume tunapitia mengi sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-03 09:08:47
1
nashoni_08 :
du noma sana
2026-07-03 06:19:09
3
Bk16 :
2026-07-03 06:57:57
2
Elizabeth Marwa :
imagine huyu kaka naupole wake alitoka kwako kaenda kujshdhakisnshdhejjdhdhjsjj jamani lakini sio poa na tuzingatieni sana kkshdhhsvdjehyejeidy2uue tuko pamoja kwalili🤝
2026-07-03 09:01:49
2
🦋🦋 :
Masikini daah inaumiza sana imagine kaka ako nd anafanyiwa ivo duuh ila yote maisha god bless you🙏🙏😭😭
2026-07-03 08:57:29
2
sky :
mungu akutie nguvu bro hy stuation uliyo nayo umeudhihilisha uanaune wako
2026-07-03 07:50:14
3
D" boy from tz :
yatapita mwanetu usichoke kumuomba mungu
2026-07-03 08:45:19
1
Salome samson Nicholaus :
kwani kafanyaje
2026-07-03 08:24:00
2
issa mbisa :
kuna nn mbn sielewi
2026-07-03 08:39:10
1
To see more videos from user @seen.digital, please go to the Tikwm
homepage.