@peter.digitals3: NDOA AU MZIGO WA UKOO? 💥 "Mshahara sawa lakini hata vocha au sabuni ya elfu mbili hajanunua ndani! 🙄 Je, ni sawa mume kubeba ukoo mzima wa mke? Wanaume wenzangu, Juma yuko sawa hapa au mke ndio ana dharau? Funguka kwenye comments! 👇" #NdoaNaUkoo #WanaumeWenzangu #MaishaHalisi #PeterDigitals #TanzaniaTikTok
Peter Digitals
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 18:58:48 GMT
Music
Download
Comments
Augustin Byensi :
hauna kosa lolote brother
2026-08-19 10:26:14
0
zawadizawadimrish :
mwanaume yupo sawa kabisa
2026-07-03 04:17:09
70
Hilda B,m :
mwanaume hana kosa
2026-07-14 08:26:25
18
Bernadettemuawe :
félicitations mon fils tu ne pas obligé
2026-07-05 11:10:07
6
Kirai Mnanka :
hauna kosa kaka
2026-07-27 09:59:12
3
katembo juste :
hauna kosa
2026-07-03 05:56:47
15
THE TEAM LEADER :
Juma Wala hujakosea
2026-07-03 17:16:43
5
Kule katsenge Haruni :
nimeshindwa kuongea🥰🥰
2026-07-03 10:45:05
15
mukurejanes 👞 👠 🩰 👠 :
mwanaume kasimama kama mwanaume🥰🥰juma kamala kiumee Mungu nipe mwanaume kama juma
2026-07-03 09:31:13
25
user7766299196221Dorcas :
kabisa
2026-07-18 13:06:15
3
timote :
mwana Ume kana musimamo wako uko Sawa kabisa
2026-07-18 23:01:37
2
Pendo Richard :
mwanaume upo sawa
2026-07-18 08:39:42
2
Asha Seleman :
huo ndiyo uanaume uko sawa kabisa! endelea kukaza
2026-07-03 14:46:34
17
hamisi msira tz :
ujakosea ukosawa kaka😄😄
2026-07-24 22:15:24
3
Aneth🍎 :
neema hafai kabisa
2026-07-05 13:13:16
2
user6280185443488 :
nimekupenda sana mafundisho ni mazr sana
2026-07-03 12:05:05
5
@mamayao :
yes mamayangu ni. mamayangu🥰🥰🥰uko sawa mwanaume
2026-07-03 07:50:26
6
Elvis tutu :
auna kosa baba, ukweli unauma
2026-07-03 15:51:09
5
J-G :
juma uko sawa sana
2026-08-04 17:03:45
4
Rachael Karisa :
naangalia kutoka kenya
2026-07-22 18:26:35
4
tini su :
Upo sawa kakaa
2026-08-01 05:08:37
2
siera foxtrot :
djuma hongera kaka iyo maamuzi iko saihi
2026-07-22 11:24:27
3
Mwami2026 :
ukosawa huna kosa lolote
2026-07-31 09:00:54
3
Jenipher George Tarimo :
hujakosea kaka🥰
2026-07-23 02:37:26
1
To see more videos from user @peter.digitals3, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.