@afyanimtajiofficial: 🦵 MUJARABU KWA AJILI YA MAGOTI! Maumivu ya magoti yanaweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama uchakavu wa viungo, majeraha, uzito mkubwa, au magonjwa yanayoathiri viungo. Kwenye video hii nimeonyesha unachoweza kujaribu na pia nimeeleza kwa nini ni muhimu kujua chanzo cha maumivu kabla ya kuanza kutumia tiba yoyote. 💬 Je, wewe au kuna mtu unayemjua anayesumbuliwa na maumivu ya magoti? Tuambie kwenye comments. 📲 Follow @afyanimtajiofficial kwa elimu sahihi ya afya na mbinu za kutunza mwili kila siku. #AfyaNiMtaji #Magoti #MaumivuYaMagoti #AfyaYaViungo #ElimuYaAfya

Afya ni Mtaji Lishe & Afya
Afya ni Mtaji Lishe & Afya
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 15:00:00 GMT
2950
59
1
21

Music

Download

Comments

..mm712
..mm :
🥰🥰🥰❤️❤️❤️
2026-07-03 21:52:25
0
To see more videos from user @afyanimtajiofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About