freight forwarder ni kozi inafundishwa NIT National Institute of Transport,
alaf bandarini wenye kozi yao ni Shipping and Port logistics management Hii nayo iko NIT
2026-07-16 08:50:25
1
◇◇KING BIZZO●● :
procurement gather here
2026-07-15 16:22:10
13
🔐r.a.y.n.a.h🌸 :
wanangu ety course ya BA kati ya tia na cbe wp gud zaidi wakuu niende
2026-07-16 19:33:46
1
Reymah Hassan Abdillah :
njoo LGTI hiyo course ipo
2026-07-13 14:28:24
4
Moustaph Iddy :
Itoshe kusema hiyo coarse pamoja na HUMAN RESOURCES MANAGEMENT ndio Coarse zenye,wahitimu wengi Tanzania ko soko lake ni gumu kiaina
2026-07-15 14:33:31
8
faudhia 🌹🌹 :
Nime mpenda kijana kajua kujielezea vzr mnoo 🥰🥰🥰
2026-07-15 20:10:36
3
Dully khan :
hiki ni chuo cha cbe au
2026-07-14 18:54:40
3
liey :
business administration jeee
2026-07-13 19:50:32
3
🌺yousrah🌺🌺 :
asante mung kwa kunikutanisha na hii video
2026-07-13 21:28:13
6
Paul joshua :
you nailed it
2026-07-09 23:58:57
1
Imma masai :
ni watu wa records 2 ndy wanaweza kufanya kazi kila mahali ,kila taasisi
2026-07-14 18:27:15
4
phido three60 :
saw mwanang ma proffers
2026-07-02 21:58:07
1
Jonas Valentine :
blessed pr
2026-07-03 07:54:29
1
jubushi shikulu34 :
💪uhakika familia
2026-07-03 04:23:52
2
B I G :
Buuuuh muhayaaa
2026-07-04 18:36:56
1
princepastory593 :
hahahaha we jamaa bigup💪
2026-07-03 07:55:30
2
NEW FLAME🔥 :
wambie wakaribie na CBE mwanza campus procurement
2026-07-04 18:42:00
1
power of world :
Hatari sana 💪💪
2026-07-04 07:28:03
1
Jovieth Elias :
umeweza sana ndugu yangu 👏👏
2026-07-08 18:21:29
1
tiver :
Unaweza mwamba 🥰
2026-07-11 08:49:23
0
Dusa disminder :
hapa chuo ni IFM tu ivi vingine ni uchwara😁😁😁
2026-07-14 12:19:29
1
miss pablo 🎶🎤🎧 :
nafuu at duh kumb kozi yang ni nzur ivo
2026-07-15 06:32:04
2
@MXAMO :
kazoba presenter💯💪😊
2026-07-03 06:07:18
1
Mons Mwembe :
je wanaweza kuwa mawinga wa serikali?
2026-07-15 12:56:20
1
To see more videos from user @mr.alistidestheright, please go to the Tikwm
homepage.